CAF Champions League

CAF Champions League

Huyu refa nae, faulo mbaya hatoi kazi kwa ahly
 
Dakika moja imeongezwa tunaenda mapumziko bila kufungana....ameen
 
Wachezaji wetu chakula kidogo...wanapewa miili wanaanguka tu
 
Huyu refa nimetokea kumpenda, hakuna kuwabeba hawa Waarab
 
Safi sana Yanga bado dakika 45 zingine vijana waingie kwenye last 16
 
half time. Yanga wamekomaa kweli kweli.
 
Back
Top Bottom