CAF Champions League

CAF Champions League

Nadir haroub kanavaro anaoneshwa yellow card
 
Yanga haijatulia kabisa, hawa jamaa wanatuhenyesha to be honest....
 
dk ya 36 haroub nadir anapewa kadi ya njano na ni faulo kuelekea kwa yanga cyo mbali sana na lango la yanga
 
Makocha wa Yanga naona benchi la moto...hawajakaa tokea ngoma ianze
 
ile faulo ilidakwa kirahisi sana na kipa wa yanga
 
Back
Top Bottom