Kwa mchezo huu yanga wategemee kupigwa bao nyingi
Kocha wa yanga inabid aongee kitu.. Tunabutua sana mipira
Kudadeki bongo kweli tupo chali
mbona wanawachelewesha hao yeboyebo
si ndio a.k.a yake?Huyu mtangazaji wa Cbc tv anamuita Kelvin yondani vidic
ka una Kingamuzi cha azam watch huko mie ndo naangalia now
mbona updates ni yanga anakoswa koswa tu..., yeye hakosi ?, au waleta updates wapo biased
Mbona updates ni Yanga anakoswa koswa tu..., yeye hakosi ?, au waleta updates wapo biased
endapo yanga watashinda...