CAF Champions League

CAF Champions League

Namuona shafee dauda hapa kaamua alale kabisa kuhakikisha kila kitu anakipata
 
Mimi simba damu, kwa shingo upande nikijali zaidi utaifa kila la heri yanga. Nawamind sana mazuzu wanaong'oa viti uwanja wa taifa.
 
Tv ya kiarabu imemuonyesha shaffii dauda akiwa kalala chini na laptop yake akituma updates bongo.
 
Mambo magumu aisee .. Tukipita vijana itabid waende turkey wakakae 1 mwezi
 
Mbona updates ni Yanga anakoswa koswa tu..., yeye hakosi ?, au waleta updates wapo biased
 
Back
Top Bottom