CAF Champions League

CAF Champions League

Aisee warabu wamekosa goli hapa! Kiduchu yanga walizwe! Hehee!
 
Dakika ya 20 bado milango ni migumu.
 
Kocha wa yanga inabid aongee kitu.. Tunabutua sana mipira
 
Kulaleki naangalia mechi mbili online Wigan 2-0 Man City... Yanga 0- 0 Waarab wa Simba
 
Kwakweli yanga wanacheza kwa kujiamini na wanaonesha na sisi tunaweza...burudani kabisa aisee
 
dk ya 21 bado bila bila si yanga wala waarabu
 
koswabkoswa nyingine hapa, inabidi beki wa Yanga wawe makini. dakika ya 22.
 
Back
Top Bottom