CAF Champions League

CAF Champions League

Tukiwatoa hawa al-ahal watupangie TP MAZEMBE.na wenyewe tuwatoe mapema ili tukachukue ubingw kilain.
 
TBC wataonesha live mtanange huo, Yanga is about to suprise the world, mikia mnaloga mpaka mnapigwa fine
 
Naona Nile TV wameshaanza pre-match commentary, vijana wanajifua pale uwanjani....tusubiri mtanange!:A S new:
 
Hii mechi itaanza saa ngapi? Afu mbona links mlizotoa hazionyeshi? Msaada
 
Sasa hivi NILETV online waaonesha Wachezaji wa Yanga wanapasha misuli uwanjani tayari kuwakabili Al Ahly na nguli wa NILETV wanasema leo Young Africans wanaweza kutuadhiri nyumbani pia tizama warm-up na mechi live ktk linki hii:

Watch Live Match 09. March. 2014 : Al Ahly Cairo vs Young Africans : Live match straight from Alexandria in Egypt Nile Sports Live TV | Egyptian Television online | Live from Cairo
 
Back
Top Bottom