CAF Champions League

Nitakuwepo mkuu hadi saa sita kabisa...ila mkuu,,,,endapo mtashinda...natangaza rasmi mimi na mke wangu tutatembea uchi wa mnyama kutoka posta hadi kimara kesho kuanzia saa tatu asubuhi
Weka picha ya mkeo kwanza!!
 
Inamana tv station za bongo ndo zinatunyima uhondo!!
 
Sasa na wewe badala ya kuongea mpira unaongea historia...toa usimba wako hapa..tuache na yanga yetu na ndoto zetu..ebu na wewe kaote jinsi ya kumfunga prison na kuchukua VPL

atuwache miaka 800
 
sema haki ya Mungu

Hujamuelewa vema mkuu.Amesema endapo yanga itashinda leo,but just remember that even we draw tutakua tumevuka daraja na ata tukifungwa 2-1,3-2,4-3 bado tutakua tumevuka.Kwahiyo usisumbuke nae sana maana atakua anaombea tupate sare ili asifanye alichoahidi.
 
Kushinda kwa yanga ni sifa kwa taifa pia...hata ulaya pia wanakuwa na uzalendo...

Ya ulaya yaache ulaya bana...kwa tanzania kushangilia yanga sio uzalendo kamwe.......ni kutojitambua
 
Mungu saidia Yanga ifungwe na itoke kwa Aibu"wasilete maneno yao ya kufa kiume
 
Ya ulaya yaache ulaya bana...kwa tanzania kushangilia yanga sio uzalendo kamwe.......ni kutojitambua
Naomba nikuulize swali. Tanzania inawakilisshwa na nani katika mashindano ya klabu bingwa 2014 barani Afrika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…