Cacico so sorry dear,God loved him most.

Pole sana Cacico na wafiwa wote, mungu awajalie roho ya ustaamilivu katika kipindi hichi kigumu. Tupeane updates za mahali msiba upo ili nasi tuweze kushiriki.
 
Pole sana Cacico na wafiwa wote, mungu awajalie roho ya ustaamilivu katika kipindi hichi kigumu. Tupeane updates za mahali msiba upo ili nasi tuweze kushiriki.

usijali mkuu nitakupatia updates baadae
 
na ndio maana nimekujibu hivyo manake nilijua unawaza hivyo. hope umeelewa kwann boko ila sijajua boko gani pengine basi haya.
Wel wel wel......... Yote kheri.
 
Pole sana mpenzi cacico ,Mungu akutie nguvu na kukufariji katika wakati huu wa majonzi.
 
Last edited by a moderator:

gfsonwin what we often forget death is a mere sleep....and in a twinkling of an eye we will be with Our Maker and our joy will be complete................it is time we begin to celebrate death just as we celebrate birth, weddings.....etc.......because God is good.............and there is no wisdom against HIM!
 

Mungu ana mipango yake ambayo kamwe binadamu hatuifahamu. Mungu aitie nguvu familia katika kipindi hiki kigumu. Pole cacico. R. I. P babu.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana cacico kwa kumpoteza babu. Mwenyezi Mungu awape nguvu. Tumuombee na mama pia aweze kupona haraka.
 
Last edited by a moderator:
usiniambie kuwa araway kahama moro almost four years sijamuona hata simu hakuna looo nimemmisije!

alshahamishwa masiku mengi. . Four years hujamuona? Halafu ni mupenz wako?
 
Last edited by a moderator:
oohh ghosh Pole sana my dear cacico Mwenyezi Mungu akupe nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu, Tuko pamoja kw maombi na lililo ndani ya uwezo wetu kukufariji kwa wakati huu mgumu.

R.I.P Babu yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…