...... cacico.... Come this way baby....!!

...duh..huyu mwana wa A town..halafu memba humu...mtoto wa mchungaji,,
Si unajua tena? Bange si nzuri mkuu. Hata ukiwa mtoto wa mchungaji haielewi somo

attachment.php
 
jamani dunia inamambo, naogopa kumwagiwa maji na ugomvi siuwezi mie hapo kwenye kukutibu hapo ndo pana utata hapo looh
Afu unajua bado hujanigongea LIKE?

Hebu kanigongee mtoto wa mwanamke mwenzio kikojoleo changu kistuke kidogo
 
Asprin, haka katoto ulikachumbia kabla hakajazaliwa? Wewe kiboko, nakuandalia maandamano kama yale ya Wathari Maangai ya kupinga uhuru park isinyakuliwe na mafisadi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom