...... cacico.... Come this way baby....!!

...... cacico.... Come this way baby....!!

Hii bendi ndio new generation au old fashen yaani babu zetu enzi zao?/ Nway nimeilaiki kwa sana!!!!!!!!!!!!
 
Zikichomwa zikawa hivi hata kama ni nani utakula halafu utapata taarifa baadaye kuwa ni D.o.g.
 
Hizo KANTUCHE alizotumia huyo zitakuwa za mkoa fulani ulioko kaskazini mwa nchi yetu; mkoa huo jina lake linaanza na herufi A na kuisha na herufi A. (ukijua usiseme)
 
Amenifurahisha zaidi yule anayepiga DRUMS!!! Anaonekana ana hisia sana. Nampa ushindi wa:first:
 
morning mtaa huu! ndio tu nimekam kwenye hii dunia, naombeni muongozo!
 
my hubby! am hummbled! just speechless, big surprize! zawadi yako nakuandalia, japo mtoto sijazaliwa bado, lakini nikiwa tumboni nilikuwa mkoleni tayari, so ctakuangusha! mwahhhhhhhhh!
Wewe kweli mtoto wa kipekee... Yaani kuzaliwa tu, unaongea na kuchezwa juu. Hongera sana!
 
kwi kwi kwi kwi nilikuwa wapi kuiona hii thread,amaa kweli Asprin mtambo!
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe... dunia ukipiga ulabu ukiwa unaangaliwa na kina charminglady, Blue G, ummu kulthum na princess enny mbona hutatamani kufariki dunia mpaka urest in pieces?

IMG_2909.jpg
Haaaaaaahaaaaaaaaahaaaaaaaaaa that's very funny buddy.
 
Hapo mwenzio alikuwa anaangalia usalama wa mali zake. shauri yako we kama we huangaliagi usalama wa mali zako si unajua abiria chunga mzigo wako?????
 
We KARIA acha visa wewe, najua hapo umeshoboka ghafla,hapo unajishaua tu yaani hapo unasubiri tumalize kuijadili hii topic afu uanze kunisumbua.Haaaaaaaaahaaaaaaaahaaaaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom