Aiseee kumbe kuna kila sababu ya kupombeka kesho......wawawaaaaaaa hepi besdei in advance my mke mwenza
cacico
Yaani kesho full team.........sasa basi na tuanze kutoa mialiko mapema ili tujumuike na kina
Mr Rocky(usijali kipenzi ntakutumia tikiti ya ndege,muage tu waifu vizuri.
Erickb52 hata na weye ukitaka tikiti ntakutumia kwa EMS,
Kaizer maudhurio yako niya muhimu sana maana
gfsonwin/
AshaDii (w)atakuwapo.
Nimeongea na
Bishanga hapa anasema atatuazima lile lirange lake tumbebeamo bebii, na ameahidi kutupa mchango wake wa 1m kwaajili ya kunywesha na kulisha wageni wote wataoweza kuhudhuria......uwiiiiii i can't wait aseeee.
Asprin hivi bado masaa mangapi vile???