gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,674
Wapenzi wote wa chit chat tukianza na ma swtlo wangu Kaizer, MOD wetu Erickb52 pamoja na mumewe cacico Asprin akiwa ameongozona na wake wenzie BADILI TABIA na Yummy. bila kuwasahau wadogo zangu wa moyoni Excellent, Eiyer, Mbimbinho na mpendwa kuliko wote Smile. wote hawa ukijumuika na mashoga zangu wa ukweli sweetlady, Mwanajamii one, charming lady Kaunga Kongosho, Erotica na Preta ma rafiki zangu wote wa kiume na wakike wote kama vile Bishanga BAK mito na Roulette na wengine wote............
wote kwa pamoja naombeni mnisaidie kuomba msamaha kwa shostito wangu wa ukweli cacico.Shostito nisamehe sana i wasn't there when you needed me, and i feel guilty for that. Natamani uone muda huu niandikapo uzi huu malaika ni mashahidi nimepiga goti kukuomba shosti unisamehe. Najua kabisa kwamba akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli. Mimi nakiri kabisa toka kwenye sakafu ya moyo wangu sijakuwepo uliponihitaj ma sweetheart but doesn't mean sikupendi ma dearest.
Nihitimishe kwa kusema kwamba we are together katika maombi and naamini God will do the rest. please nisamehe sana ma dear friend. me love you sana tu. BAK naomba uniekee wimbo mzuri utakao sindikiza salamu zangu hizi za msamaha.
NB japo kuwa uzi uko chit chat i mean it, so please msiweke matani bali nisaidien mwenzenu natamani kuwa rafiki mwema.

Last edited by a moderator: