Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,799
Acha kupenda umbea,we mwombee thamaani.
Hivi kumbe ni umbeya.
Acha kupenda umbea,we mwombee thamaani.
Kama anataka kitu cha kuchinja sema nikutumishie kondoo toka soko la mnada la KwaMromboo. Maana wachaga bila kuchinjiwa hawatoi msamaha ng'oo!
Acha kupenda umbea,we mwombee thamaani.
Umbea mbaya,mwombe tu msamaha,details hazihuuu.
yaani huyu Kipipi ndo kanizodoa ile mbaya ila sasa atakuja na maombi ya msamahaYaani hizi ndo salam zako?
Nakushangaa!
Umenena vema gfsonwin, words are enough for the wise! Naamini dada cacico amekusikia na amekusamehe from the bottom of her heart!
Nakushangaa!
jamani kumbe nimeshasahau kwamba mkono mtupu haulambwi? basi hiyo nitainunua ila wewe endeleapo kuniombeapo msamaha.
oʞɐʍ !zn nnႡ ɐɯos!ʞɐ әႡәɯɐsnʞɐʇɐ әdoႡ !
Nimekwambia usiniulize..eboh[/QUOTE
you are the last person i expected to say so
Usije sema tahadhari sikukupa kabla!! pole, nipige na pakio la hina