haiko kimatangazo ila wapi ntapata huu waya? au adapter? coz nimehangaika sana jamani... ni wire wa cpu to monitor
\text me kwa 0713688266 tanx wanaJF
zipo nyingi tu hizo kkoo, nenda kule round about ya uhuru kuna wale jamaa wanauza cable nyingi nyingi nje