Mtanzania alisha tafsiliwa na wanaccm kuwa ni bogus tu,hana uwezo wa ku argue chochote hata wangefanya madudu gani.Wao maisha ya Mtanzania siyo issue,mhimu ni wao tu kuwa madarakani basi.Hizi ni dharau na kejeli kwa watanzania...sijui kama tunawaelewa wanavyotuchukulia hawa jamaa.
Elimu ya inayotolewa na ccm iliyooza nayo utaita elimu?mwanafunzi aliyesoma UDSM utamlinganisha na wa UNIVERSITY OF CAPE TOWN?Nyie acheni unoko na wivu Nchemba ni jembe, siasa tu zinawasumbua. Mtu mwenye MEconomics na sasa anchukua Phd amabaye aliwahi kufanya kazi Central Bank bado mnasema hatoshi. Mareh Mginwa alikuwa na Masters pia lakini, kabla ya hapo Mkuro elimu yake ilikuwa ndogo kuliko Mwigulu, tatizo nilionalo ni kwamba mnamwona kama mwanasiasa zaidi lakini ni mchapa kazi msomi.Kwa Nkamia kutajwa na waandishi kucheka unajua waandishi na Nkamia pamoja na kwamba ni mwenzaao huwa hawamwelewi awambiapo mkiandika nchi kwanza na mambo yenu baadaye; lakini cha mno ni kwamba Tido Mhando imekula kwake, kwani itabidi kwenda kwake kupiga hodi kikazi.
Wewe ni katika wale mashabiki zuzu hujui hata uchambuzi.huwazi hata watoto wako unawaza wewe namkeo tu.Hamjali maisha ya mwananchi maskini utafikiri mtaishi milele hapa duniani.Mabutu Seseseko wa Zabanga naye alikuwa na jeuri kama yako.Nusu ya utajiri wa Zaire ulikuwa wake binafsi na watoto wake.Kwa taarifa yako alizikwa na watu sita tu katika nchi ya kigeni.Nndondo anza kutoka wewe barabarani si kubwatuka humu kumbe muoga wahedi eti siogopi hata mods wakitutaja, watakutaja vipi wakati wewe umeonekana barabarani? Namheshimu kijana mmoja pale UD mwaka jana aliandamana mwenyewe hadi Ikulu wewe je? Nchemba humuwezi hata mkipambanishwa kwa vita ya maneno achilia mbali utendaji. Amewaweza kwenye vyama vyenu mnaleta za kuleta hapa. Hatudanganyiki tena
Kamundu,
..wako wa-Tz wengi tu ambao ni competent wangeweza kuteuliwa kutumikia wizara ya fedha.
..nadhani JK mwenyewe haamini kama wizara ya fedha ni muhimu kiasi hicho kulazimisha kuteua watu wenye solid track record kutumikia pale.
NB:
..halafu kitendo cha waandishi wa habari kucheka na kuguna kuhusu baadhi ya teuzi za Raisi, kinaleta taswira isiyo nzuri kwa mteuliwa, washauri wa Raisi, pamoja na Raisi mwenyewe.
cc Mchambuzi, Mdondoaji, NasDaz
Inawezekana bado ni mipango ya Mungu ili kila aliyekuwa bado hajaielewa vizuri CCM na utendaji wake,aijonee ili achukue uamuzi unaostahili.
Sometimes Unashindwa kuelewa kama JK anapata ushauri mzuri ili kufanya maamuzi au ni upeo wake mdogo sana vilevile wa kutoweza kupambanua nini cha kuamua.
Sioni tatizo sana kwa wale walioteuliwa ktk positions hizo pamoja na sifa zao na record zao mbovu zisizofaa.Tatizo ni au source ya matatizo yote na maamuzi mabovu yote ni kuwa na kiongozi asiyefaa ktk ngazi ya taifa. Na hili mbali na kuwaweka mahala pagumu wateule wake,nadhani inatoa taswira mbaya sana na kumuumbua rais wetu jinsi alivyo na upeo mdogo sana ktk post aliyonayo.
Taratibu mtaanza kumwelewa Kagame ni jinsi gani aliudhiwa na huyu jamaa kiasi cha kuazimia kumvizia na kumchapa akidhani hilo lingesaidia. Nahisi Kagame angemchapa,hali yetu ingekuwa na mabadiliko ambayo mimi na wewe hatujui.Ingeweza kusaidia au kuharibu zaidi.
Sina hakika kama anajua anachokifanya, na kama ni dhamira yake, basi kutokana na utendaji wake mbovu,jamaa ana dhamira mbaya sana kwa taifa lake.
Inatia uchungu sana kuwa na kiongozi wa namna hii katika ulimwengu wa sasa.Haihitaji kufika hata O level kuona mapungufu ya JK.
Ndiyo maana pamoja na mapungufu ya viongozi wa nchi jirani,bado wakikaa na JK kufanya maamuzi kwa manufaa ya nchi zao nadhani walishagundua jamaa ni kilaza fulani hivi na kuona atachelewesha mambo muhimu ktk maendeleo, bila kumficha wameamua kumweka kando.
To be honest the guy hafai kabisa na anapwaya sana kwenye post hiyo. Nchi yetu itakuwa imepita ktk kipindi cha giza ktk utawala wake. Hasara kubwa sana kwa Taifa.
Ndiyo maana nilianza kwa kusema huenda Mungu ameamua kulirehemu taifa letu kupitia utawala dhaifu ambao sijawahi kuona aina yake,ili kutokana na UBOVU wa ngwe hii ya utawala watz wajipange kutorudia kuchagua Msiba kama huu kwa taifa.
Ni dhahiri yote ambayo yameshatokea,yanayotokea na yatakayotokea kuhusu watu kama akina Nchemba kupewa post za hivyo, Ni udhaifu wa kiongozi asiye na dhamira njemba kwa taifa,na kama si udhaifu tu basi jamaa atakuwa ni jeuri na kiburi kisichokuwa na mfano. Huyu mtu hakustahili kuendelea kuwa madarakani. It's only in Tanzania.
Mwigulu kafanyakazi BoT ni experience tosha ya kufanya kazi katika wizara anajulikana kwa performance zake za awali, hilo linamfanya atambulike for his talents na wahusika wajuu kuwa ni option kwa hivyo unashangaa nini kuchaguliwa, timing is everything in life kuna wengi pia wanafahamika mpaka juu lakini wanabaki nyuma kwanza kupima maamuzi habari ndio hiyo.Mwigulu na Nkamia ni disappointment.....
Dah kaka umenikumbusha mbali nilikosa somo la Physics likifundishwa na Grahams kisa laptop yake iliibwa na hawa jamaa ingawa najua walikuwa wanaiba data may b lakini baada ya kuchukua hayo makitu wangemrudishia laptop yake ili tufundishwe