Cabinet Baada Ya Lowassa: Waziri Mkuu Mpya Atakuwa Nani?

FDR Jr

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
249
8
Wakuu hapa JF,mpaka sasa tunaelekea saa nne asubuhi hatujapata latest za huko Dodoma.

Tunawaomba wakuu akina FMES,MWKJJ,HALISI EngineerM na wengineo mtupatie kinachojiri huko kwa ukweli na uwazi na kwa speed kali sana. JF inawategemea.

NINAREJEA HOJA YANGU,NINAWAULIZA NINYI WAN JF WOTE ,KTK HALI HII TETE NI VEMA TUJIULIZE NI NANI ATAKAYEMFAA Mh.RAIS KWA NAFASI YA UWAZIRI MKUU.

JE NI LOWASSA? AU WASSIRA? AU MALECELA? gENERAL NGWILIZI? MUNGAI? MWANDOSYA? KIMITI/PINDA? KAPUYA? MASHA? NCHIMBI? NGASONGWA? MEMBE? NAGU? OR MAGEMBE?

NINADHANI KTK MAJINA HAYA NILIYOYATAJA KUNA JIBU SAHIHI KWA KIKWETE.

KILA LA HERI MH. RAIS

WAN JF TUPATIENI SHULE KWA UWAZI NA UKWELI.
 
hivi akimvuta shati Salim A Salim na kumwambia kutushirikiane tuikoe nchi patakuwa na kasoro?

au suala la dini linaweza kuchafua kwa kuonekana viongozi wote waislam?
 
hivi akimvuta shati Salim A Salim na kumwambia kutushirikiane tuikoe nchi patakuwa na kasoro?

au suala la dini linaweza kuchafua kwa kuonekana viongozi wote waislam?

KTK ORODHA YANGU KUNA WAISLAMU NA WAKRISTO,KOSA LANGU NI WAZANZIBAR

NAIBORESHA KWA KUMTIA HAPO -DR.HUSSEIN MWINYI NA MOHAMED SEIF KHATIBU NA SHAMSI VUAI NAHODHA.HUKU BARA NINAMUONGEZA MUONGOFU JOHN POMBE MAGUFULI

NI SHERIA YA NCHI KUWA PM WA TZ NI LAZIMA AWE MBUNGE WA KUCHAGULIWA JIMBONI.

LOWASSA- NI CURRENT PM WETU,KAMA KUNA NAMNA YA KU SURVIVE KTK HILI BASI AENDELEE KWANI KASI YAKE KIUTENDAJI INAFANANA NA SLOGAN YETU.TATIZO MOJA KUBWA,EL NA JK NI WATU WENYE KARISMA PAWA INAYOSHABIHIANA 1995 HE WAS Na.1 TO UVCCM KAMA SI jkn KUINGILIA KATI, HIVYO KUWAWEKA KTK ZIZI MOJA INAKUWA KAZI SANA

MALECELA-NAHODHA ALIYESAFIRI NA MELI KTK HALI ZOTE NA SURVIVOR WA SIASA ZETU,NJIA UPATANISHAJI WA MAKUNDI NDANI CCM,X-PM,NA ANAWEZA KUMSAIDIA JK KWENDA 2010 IKATOSHA.

WASSIRA- HAPA NA WENGINEO WA HUKU BARA NIWAACHIE NINYI WAJUZI WA MAMBO MSEME YENU.
 
Hivi tumekosa watu mpaka turudi kwenye mitumba? Hao wazee walishatimiza majukumu yao na sasa vijana wapewe nafasi ya kuongoza.

Kwa utendaji ninaouona toka kwa PM na baraza la mawaziri naamini vijana wengi tu wanaweza kufanya hizo kazi kwa ufanisi mkubwa.

Blair alikuwa na miaka mingapi alipokuwa waziri mkuu? Muhimu ni kuwa mwepesi wa kuelewa, kukubali kujifunza na kuwa na wasaidizi wanaofaa.
 
KTK ORODHA YANGU KUNA WAISLAMU NA WAKRISTO,KOSA LANGU NI WAZANZIBAR

NAIBORESHA KWA KUMTIA HAPO -DR.HUSSEIN MWINYI NA MOHAMED SEIF KHATIBU NA SHAMSI VUAI NAHODHA.HUKU BARA NINAMUONGEZA MUONGOFU JOHN POMBE MAGUFULI

NI SHERIA YA NCHI KUWA PM WA TZ NI LAZIMA AWE MBUNGE WA KUCHAGULIWA JIMBONI.

LOWASSA- NI CURRENT PM WETU,KAMA KUNA NAMNA YA KU SURVIVE KTK HILI BASI AENDELEE KWANI KASI YAKE KIUTENDAJI INAFANANA NA SLOGAN YETU.TATIZO MOJA KUBWA,EL NA JK NI WATU WENYE KARISMA PAWA INAYOSHABIHIANA 1995 HE WAS Na.1 TO UVCCM KAMA SI jkn KUINGILIA KATI, HIVYO KUWAWEKA KTK ZIZI MOJA INAKUWA KAZI SANA

MALECELA-NAHODHA ALIYESAFIRI NA MELI KTK HALI ZOTE NA SURVIVOR WA SIASA ZETU,NJIA UPATANISHAJI WA MAKUNDI NDANI CCM,X-PM,NA ANAWEZA KUMSAIDIA JK KWENDA 2010 IKATOSHA.

WASSIRA- HAPA NA WENGINEO WA HUKU BARA NIWAACHIE NINYI WAJUZI WA MAMBO MSEME YENU.

In otherwords wewe hutaki VIJANA wapewe nafasi

Hutaki watu wenye mawazo mapya wapewe nafasi

Hutaki kuona watu wapya

wewe unataka kurecylce hivyo vizee ambavyo vimekuwa madarakani tangu enzi hizo

halafu unataka wana JF wakuchukue serious

hivi ushacombine umri wa hao uliowataja hapo juu?

kama sikosei roho itakuuma sana ukisikia KINGUNGE naye aamua kujuzulu

what a joker!
 
Wapo wengi tu wenye kuweza kushika madaraka hayo. Mimi ningependa awe mwanamke, na hasa hasa awe ni Mama Kilango
 
Haya watabiri na wabashiri na wachambuzi na wagunduzi na wachangia hoja.

Jee, Waziri Mkuu Mpya Atakuwa Nani?
 
kichuguu,

..Mama Kilango elimu yake ni ndogo kuweza kuwa waziri mkuu ktk zama hizi.

..waziri mkuu ni mtu ambaye most likely atakuja kuwa Raisi wetu.

..Naona safe candidate ktk cabinet ni Prof.David Mwakyusa.
 
Back
Top Bottom