C inaanzia 57 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

C inaanzia 57

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Korogwe Vijijini, Jul 31, 2012.

 1. K

  Korogwe Vijijini Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wadau ebu tusaidiane kwa hili hivi ni kweli kwamba c ya private candidates inaanzia 57 au ndio uzushi wa wabongo mana kuna mtu amepata four ya 27 na ana c mbili lakini hataki kutafuta c ya tatu anahofia kushindwa kufikisha 57 ameamua kuwa mjenzi
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Sio kweli,hayo ni maneno ya vijiweni!
   
 3. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nikweli
   
Loading...