bcsolution
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 394
- 176
hee! wana mambo. haya na mie najiunga sana cha wiki, wakikiondoa......Nimekuwa nikijiunga kifurushi cha 15000 kila mwezi . Sasa tigo wamekiondoa kwenye menu yangu sasa kuna cha 50.000 na cha 100.000 . Nimewapigia kuwauliza mbona sioni kifurushi cha 15000 ,nikaambiwa kimeondolewa kwangu kwa kuwa nimeonekana najiunga nacho sana .. kwa iyo nimeonekana tajiri sana ...Airtel nakuja kwenu nipokeeni..bye bye tigo
Yaani wakupangie kifurushi cha kununua kwa pesa yako!!!
Wanajua una sacrifice vingapi ili ku save hiyo 15,000?
Unaweza ukajikuta unamtukana huyo mtoa huduma bila kukusudia!!!
Karibu airtel, ila kaa ukijua wote wezi hawa. Hakuna pa nafuu
Pamoja na kuwa na mkonga wa taifa lakin bado hatuna internet ya uhakika kabisa.
Pamoja na kuwa na mkonga wa taifa lakin bado hatuna internet ya uhakika kabisa.
Nimekuwa nikijiunga kifurushi cha 15000 kila mwezi . Sasa tigo wamekiondoa kwenye menu yangu sasa kuna cha 50.000 na cha 100.000 . Nimewapigia kuwauliza mbona sioni kifurushi cha 15000 ,nikaambiwa kimeondolewa kwangu kwa kuwa nimeonekana najiunga nacho sana .. kwa iyo nimeonekana tajiri sana ...Airtel nakuja kwenu nipokeeni..bye bye tigo
Mitandao yote ina matatizo ila hawa tigo wamezidi.