Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Bungeni unapitishwa mswada wa cyber crime!!
Ukisambaza picha za utupu,jela Na fine!! So Nancy inabidi afunge tu hiyo blog
No bongo certification tena!!
Aliyeweka adhabu yake ni kubwa kuliko aliezifuataKiswahili kinachanganya, hivi huy nancy anasambaza au ameweka hizo picha za utupu, kama anasambaza hiyo itakuwa inamuhusu ila kama ameweka tu na watu wenyewe ndio wanaofuata hiyo haimuhusu kabisa:tape2::tape2:
Kiswahili kinachanganya, hivi huy nancy anasambaza au ameweka hizo picha za utupu, kama anasambaza hiyo itakuwa inamuhusu ila kama ameweka tu na watu wenyewe ndio wanaofuata hiyo haimuhusu kabisa:tape2::tape2:
Members only vip?
Bungeni unapitishwa mswada wa cyber crime!!
Ukisambaza picha za utupu,jela Na fine!! So Nancy inabidi afunge tu hiyo blog
No bongo certification tena!!
we ndo nani vile...kirungu ama mr husband?Bungeni unapitishwa mswada wa cyber crime!!
Ukisambaza picha za utupu,jela Na fine!! So Nancy inabidi afunge tu hiyo blog
No bongo certification tena!!
Jidanganye/ kasome muswada
Anayetumiwa Na anayesambaza wote jela!!
Maneno tu hayo mkuu.
Hawatoweza kumzuia tembo kunywa maji
Mbona tunanyimwa uhondo jamani, kwa hiyo hata za kutumiana kwny whatsApp haziruhusiwi
Hata yule anaekuja kukagua kama uko sahihi ama la anamakosa.
Unaweza kumshitaki kwa kuingilia computer yako.
Tutaandamana mwanzo mwisho.jikusanyeni wadau muandamane tuu au mtaifungulia mkiwa kenya alafu mnaaccess mkiwa kwatz