Bwege: Mbowe anachikifanya ni kama mchezo wa Bata

Bwege: Mbowe anachikifanya ni kama mchezo wa Bata

Ila kwenye siasa bila kumtaja Mbowe hakuna ladha ya upinzani,huyu kiungo muhimu kwenye siasa za upinzani,hata mkipinga ukweli ndio huo.Hata kama ana madhaifu bado ni muhimu
Anazesha siasa chafu nchini,madhila haya ya CHADEMA ni Mbowe.
 
Anazesha siasa chafu nchini,madhila haya ya CHADEMA ni Mbowe.
Mbona mna hasira na kila ambae hayuko upande wenu,yeye siasa zake hazikuwa za uadui,ameenda gerezani mara ngapi!!?au alikuwa anaigiza kukaa gerezani.Mbona alikuta Chama kina wanachama wasiofika laki sita,leo ni mamilioni.Tuweni na shukran,Mrema,Lipumba,Cheo na Mtikila waliacha wanachama wangapi!!?Uongozi ni mbinu ubabe ni mtihani wa kujitakia.
 
Kwanza kwa yote tumuombe Mungu ampe afya njema Mzee selemani bungala.
Nimemsikia Eatv akichambua siasa za chadema kwasasa zilipo fikia ni sehem nzuri na ukweli na unafiki wa Mbowe utajulikana kabla ya mwezi wa nane kwasabb kwasasa anafanya michezo ya Bata kutanguliza watoto halafu yeye anafuata.
Kuhusu uchaguzi alishauri chama chake act kisishiriki uchaguzi lakini maamuzi ya wengi yaliamua washiriki uchaguzi.

Je hili linaukweli?
Binafsi naamini hili linaukweli asilimia 90.

Tusubiri mwezi wa nane.
Mbowe hawezi kuiacha chadema maana chadema ni damu yake, damu ya wakwe zake etc etc etc

akifanya hivyo nitamdharau!
 
Mbowe hawezi kuiacha chadema maana chadema ni damu yake, damu ya wakwe zake etc etc etc

akifanya hivyo nitamdharau!
Team mbowe wanaipasua pasua chadema, walishtaki kwa msajili hadi Mnyika kasimamishwa haya wale zanzibari wameshtaki tena chama hadi kufungiwa shughuli. Hivi kweli Mbowe chama alichokijenga kwa miaka 30 anataka akiue ili apate nini?

Dah
 
Kwanza kwa yote tumuombe Mungu ampe afya njema Mzee selemani bungala.
Nimemsikia Eatv akichambua siasa za chadema kwasasa zilipo fikia ni sehem nzuri na ukweli na unafiki wa Mbowe utajulikana kabla ya mwezi wa nane kwasabb kwasasa anafanya michezo ya Bata kutanguliza watoto halafu yeye anafuata.
Kuhusu uchaguzi alishauri chama chake act kisishiriki uchaguzi lakini maamuzi ya wengi yaliamua washiriki uchaguzi.

Je hili linaukweli?
Binafsi naamini hili linaukweli asilimia 90.

Tusubiri mwezi wa nane.
Bwege ni mgonjwa sana, si vyema kumnukuu mtu wa aina hiyo kwakuwa ana utetezi wa insanity.
 
Jamaa aliheshimika sana kwa uchaguzi alivyoruhusu uwe huru na haki na akakubali matokeo. Cha ajabu leo kageuka tena anataka kuiua chadema, hivi huo Urais anaoenda kugombea CHAUMMA atashinda kwa tume ipi? Hivi yupp serious kweli au anatumika na CCM
Kuna shida kubwa sn
 
Team mbowe wanaipasua pasua chadema, walishtaki kwa msajili hadi Mnyika kasimamishwa haya wale zanzibari wameshtaki tena chama hadi kufungiwa shughuli. Hivi kweli Mbowe chama alichokijenga kwa miaka 30 anataka akiue ili apate nini?

Dah
Ndiyo maana nasema akifanya hivyo atadharaulika milele
 
Bwege ni mgonjwa sana, si vyema kumnukuu mtu wa aina hiyo kwakuwa ana utetezi wa insanity.
Nikweli pia tuendelee kumuomba Mungu ampe afya njema arudi katika hali yake ya kawaida kama zamani.
 
Nimesikiliza clip kadhaa za Mzee BWEGE nimeona anaongea nondo sana. Laiti vijana na wasomi wa nchi hii akili zao zingekuwa zinafanya kazi vizuri, hii nchi tungefika mbali sana.

Hongera sana Mzee BWEGE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom