Bwawa la Mwalimu Nyerere lafikia MITA 185 ujazo, lajaa mpaka kikomo

Matumizi ya ziada kwa hayo maji huku Rufiji yanaweza kuwa nini?....kama ni kumwagilia haiwezekani maana hata mashamba yamefunikwa na Maji.

Kujenga mifereji ya kuchepusha maji ama kutokea kwenye bwawa moja kwa moja au upande wa chini wa mto...

Mathalani, maji yatayochepushwa yanaweza kujengewa resevoir kubwa mbele kwa mbele then yakatumika kuzalisha maji safi kwa matumizi ya binadamu

Hata hivyo nadhani hili halikuwa kwenye maono ya yeyote kwa kuwa wakati bwawa linaanza kujengwa kulikuwa na ukame na maji yalikiwa machache mno...
 
Hiyo kazi ya kujaza maji si ndo ilichukuwa muda mrefu na mradi kuchelewa? Sasa yanamwagwa tena?

Au kuna kitu sijaelewa hapa?
Nchi hii ngumu sana. Maji yasipokuwepo tatizo, yakijaa tatizo. Tupewe nini sisi?
Kuna wakati mvua ziliyesha tukambiwa maji hayajafika kwenye mabwawa, mara leo maji ni mengi itabidi tuzime mitambo. Hakieleweki
 
Matumizi ya ziada kwa hayo maji huku Rufiji yanaweza kuwa nini?....kama ni kumwagilia haiwezekani maana hata mashamba yamefunikwa na Maji.
Tumwagilie tu, tuna akili ya kenge mvua ikinyesha anakimbilia kwenye maji kujikinga mvua
 
World Wildlife Fund
https://files.worldwildlife.org › ...PDF
THE FACTS AND RISKS OF BUILDING STIEGLER'S GORGE HYDROPOWER ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…