Huo kawazodoa kweli mnapenda kula kula? issue si kuoa kesha oa mnamdai nini tena?............Maandalizi ya harusi yamekamilika.. siku ya harusi bi harusi mtarajiwa anasubiri gari la kumpeleka saloon kupambwa ... gari halikutokea... akaamua kuchukua bajaj hadi saloon... yuko saloon anasubiri shela shela inakuja saa 9:30, baada ya kupambwa anasubiri gari lililopambwa aelekee kanisani gari halikutokea....anaamua kuchukua Bajaj hadi kanisani... kanisa la walokole... ameshachelewa lakini Mchungaji anafanya staha....... anawafungisha ndoa.... baada ya ndoa wanatoka nje ya kanisa ... hakuna cha gari la maharusi wala gari la wazazi wala wapambe..... kwa aibu ndugu wa mume wanaamua kukodi Taxi kuwachukua maharusi na kuelekea kusikojulikana ......na kuwaacha ndugu wa mke wasijue anakopelekwa mtoto wao......lakini ikumbukwe kwamba Bwana harusi alikuja siku ya sendoff na wapambe wake na ndugu wa chache ... walikula na kunywa .....kadi za mwaliko wa harusi walizopaswa kuja nazo siku ya sendoff hawakujanazo......ili bidi waalikwa wa sherehe hiyo nao kutawanyikia kila mtu na shughuli zake... My take:- Wazazi mnaotaka watoto wenu waolewe juu kwa juu bila kufanya utafiti wa binti yako anakwenda wapi liangalieni hili... fanyeni utafiti mjue hali ya baadaye ya binti yasije yakawakuta kama yalivyowakuta hawa jamaa zangu
Yalimtokea binamu yangu hayox2. Tumetoka kanishani ndugu wa mume walikuja kama mchezo wa kuigiza vile, kaka wa bwana harusi akachukua taxi maharusi wakaondoka, tukabaki tunatazamana. Tuliishia bar kula nyama choma.
jamaa sio muhaya kweli ?Kama wameshafunga ndoa basi hakuna cha ziada.
ila angesema mapema jamani loh!Ndoa ya namna hiyo lazima itadumu tu..hachana na harusi za siku hizi michango mill.20 kuendelea..pesa ikikosekana hakuna harusi..Ndoa ni nyinyi wawili mnapokuwa peke yenu hapo tunaita ndoa.mengineyo ni ya wapambe tu..
............Maandalizi ya harusi yamekamilika.. siku ya harusi bi harusi mtarajiwa anasubiri gari la kumpeleka saloon kupambwa ... gari halikutokea... akaamua kuchukua bajaj hadi saloon... yuko saloon anasubiri shela shela inakuja saa 9:30, baada ya kupambwa anasubiri gari lililopambwa aelekee kanisani gari halikutokea....anaamua kuchukua Bajaj hadi kanisani... kanisa la walokole... ameshachelewa lakini Mchungaji anafanya staha....... anawafungisha ndoa.... baada ya ndoa wanatoka nje ya kanisa ... hakuna cha gari la maharusi wala gari la wazazi wala wapambe..... kwa aibu ndugu wa mume wanaamua kukodi Taxi kuwachukua maharusi na kuelekea kusikojulikana ......na kuwaacha ndugu wa mke wasijue anakopelekwa mtoto wao......lakini ikumbukwe kwamba Bwana harusi alikuja siku ya sendoff na wapambe wake na ndugu wa chache ... walikula na kunywa .....kadi za mwaliko wa harusi walizopaswa kuja nazo siku ya sendoff hawakujanazo......ili bidi waalikwa wa sherehe hiyo nao kutawanyikia kila mtu na shughuli zake...
My take:- Wazazi mnaotaka watoto wenu waolewe juu kwa juu bila kufanya utafiti wa binti yako anakwenda wapi liangalieni hili... fanyeni utafiti mjue hali ya baadaye ya binti yasije yakawakuta kama yalivyowakuta hawa jamaa zangu

bwanaharusi nadhani hakuwa muwazi tapeli huyuBwana harusi hana makosa ni kamati yake haikujipanga vizuri pilau. Vilevile ukae ukifahamu watu wanatofautiana uwezo na mara nyingi wazazi wa upande wa bibi harusi ndio hushinikiza sherehe zisizowezekana kwa upande wa kijana; mathalani kama walijua uwezo wa mkwe wao badala ya kufanya "send off" kwa nini wasingekusanye nguvu wakafanya sherehe moja ya harusi kwa kuelekeza ile michango ya marafiki wa bibi harusi iende kuandaa sherehe ya harusi?