Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,435
i will be honest kwa rafiki yangu siwezi mshauri arudiane na mtu aliyemsaliti ndani ya ndoa,kama aliweza mwanzo kwa nini ashindwe baadae atleast nje ya ndoa kidogo unaweza ukamsamehe ndani hapana...mambo ya ndoa ni magumu, wapendanao hurudiana somtimes na kusameheana, ni bora kumliwaza tu siku ziende asahau kuliko kupigilia msumari amuache afu badae wanapatana unabaki na aibu...