Mimi kwakweli nimeipenda sana hekima aliyotumia huyo mtendwa!! huu ni mfano wa kuigwa kwani mwisho wa siku ni mwanamke ndio anabaki na simanzi baada ya kutemwa bila malumbano wala ugomvi. Wanaume tunatofautiana kimaamuzi ila jamaa kama atasimamia maamuzi yake ya FINITO basi atakua perfect kabisa, huwezi kuishi tena na mke kama huyo hata ukishauriwa wa tanzania nzima!
Ataishi na yupi sasa? Manake hakuna mwanamke wa peke yako kama ilivyo hakuna mwanaume wa peke yako! Anaeza kuruka mavi akakanyaga moto!
Dawa ni kumsamehe, na vile yule amefumaniwa aweza kutubu na kujirekebisha!
Mi natoa ushauri ni kusamehe!