Bwana harusi aingia Mitini, Ndoa yabuma

Bwana harusi aingia Mitini, Ndoa yabuma

Ishmael

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
15,039
Reaction score
6,018
Bwanaharusi aliyetambulika kwa jina moja la RAHIM (miaka 30) ameshindwa kutokea ktk tukio linalomuhusu la kufunga kati yake na BI HUSNA (miaka 16)

Bwanaharusi huyo aliamua kuingia mitini baada ya kuhisi kwamba huenda aliandaliwa mtego wa kukatwa na kufunguliwa kesi ya ubakaji kwa kumuoa binti wa miaka 16 ambapo kwa mujibu wa sheria za Tanzania binti wa miaka 16 anahesabiw kuwa bado ni mtoto asiyeweza kufanya maamuzi makubwa kama hayo.

Hongereni sana watu wa kutetea haki za kinamama na watoto kwa kuandaa mtego huo.

10408810_1517792231794151_2873940184065646692_n.jpg

Mtoto HUSNA (miaka 16) akiwa analia baada ya kidume ,,RAHIM, (miaka 30) kuto onekana siku ya tukio. mama yake akiwa anamfariji.
 
Huyo bibi hapo pembeni hata haya hana kutaka kumwoza mtoto?????

Na husna kisa cha kukimbilia dushelele ni nini?

Na rahim bahati yako miaka 30 ingekuhusu
 
Sijui kwa nini amekimbia lakini dini yetu inaruhusu.
 
Itakuwa alitonywa kuwa ukiingiza timu tu basi imekula kwako. Nahisi watatafutana wenyewe wayamalize kwani bi dada anaonekana alishajikoki sawa sawa.
 
Kwa wataalam wa sheria hebu mtujuze sheria ya ndoa! Binti wa miaka 16 si anaruhusiwa kuolewa kama kwa utashi wake mwenyewe atakubali kufunga ndoa?

Labda kama ni mwanafunzi hapo kuna kuwa na kesi nyingine, ila kama si mwanafunzi nadhani sheria ya ndoa iliyopo sasa inaruhusu kwa huyo binti kuolewa!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Mbona wanagongwa sana mtaani akijafikia 18 Yesu imekuwa mdebwedo si bora waolewe tu?. Darasani ukiwa mwl unafundisha anakupimia kwenyw zipu yako mimacho wanaitoa hadi unaona aibu hasa hasa uwe mkali kwenye kufundisha. Ni majanga bora waolewe tu.
 
Miaka 30 vs 16!!!! Halafu mkifikisha 40s 50s wakijitokeza vidume wa kuwasaidia mnalialia. Mkeo akiwa 36 wewe ni 50s haki ya nani viagra itahusika maana mwanamke hapo ni peak anahitaji mkuno wa kisawasawa.
 
Bwanaharusi aliyetambulika kwa jina moja la RAHIM (miaka 30) ameshindwa kutokea ktk tukio linalomuhusu la kufunga kati yake na BI HUSNA (miaka 16)

Bwanaharusi huyo aliamua kuingia mitini baada ya kuhisi kwamba huenda aliandaliwa mtego wa kukatwa na kufunguliwa kesi ya ubakaji kwa kumuoa binti wa miaka 16 ambapo kwa mujibu wa sheria za Tanzania binti wa miaka 16 anahesabiw kuwa bado ni mtoto asiyeweza kufanya maamuzi makubwa kama hayo.

Hongereni sana watu wa kutetea haki za kinamama na watoto kwa kuandaa mtego huo. NDOA ZA KIISLAMU NI MAJANGA MATUPU.

Suala la kuolewa na miaka 16 sio la Kiislamu, ni suala la kisheria. Sheria ya ndoa inaruhusu binti wa hadi miaka 14, kwa ruhusa ya Mahakama.

Kama hao wazazi hawakupata kibalo cha mahakama kuruhusu hiyo ndoa, basi bwana harusi amefanya la maana sana. Kaepusha ubawa wake.

Vv
 
Ile dini inayoruhusu kuona wanaume kwa wanaume,

Sodomy "For the Sake of Islam"

As a possibly convenient way of rationalizing what one desires while still being able to feel "pure," anything and everything that is otherwise banned becomes permissible. All that supposedly matters is one's intention, or niyya.

Abdullah Hassan al-Asiri, who plotted to assassinate Saudi Prince Muhammad bin Nayef in 2009 with a bomb hidden in his rectum, had apparently relied on a fatwa by an obscure cleric permitting sodomy to "widen" his anus to accommodate the explosives.
 
Aliyenogesha picha ni Bibi maana yupo kiumbea sana.
 
10408810_1517792231794151_2873940184065646692_n.jpg

Mtoto HUSNA (miaka 16) akiwa analia baada ya kidume ,,RAHIM, (miaka 30) kuto onekana siku ya tukio. mama yake akiwa anamfariji.

Mtoto analia, which means yeye alikuwa hajui kama ni mtego...yeye alijua ndio keshapata chungu! (maana yeye ni jiko)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom