Uhalali kutokana kwa vigezo vipi? Miaka 16 hata Shile ahamaliza wewe unasema halal. AiseeeHebu kafanye utafiti kidogo kuhusu umri halali wa kuolewa hapa tanzania.
Usiandike tu kwa hisia au kwa maoni wanayotoa wanaharakati wanaopigania mabadiliko ya sheria kandamizi.
Kwa taarifa yako, huo umri ni halali kabisa lakini isiwe binti kakatishwa masomo au wazazi hawana taarifa!
Kwahiyo hata kama mtoto hataki, laikini wazazi wanataka ndoa, sheria ya mwaka 71 inasuhuru kulazimisha ndoa!! Hivi wewe unafahamu maana ya ndoa au umekurupuka tu?Hakuna kitu kama hicho sheria ya ndoa ya mwaka 71 inaruhusu bint wa miaka 15 kuolewa kwa ruhusa ya wazaz,istoshe miaka 16,hamna kesi hapo,labda kama wazazi hawakuridhia!
Bwanaharusi aliyetambulika kwa jina moja la RAHIM (miaka 30) ameshindwa kutokea ktk tukio linalomuhusu la kufunga kati yake na BI HUSNA (miaka 16)
Bwanaharusi huyo aliamua kuingia mitini baada ya kuhisi kwamba huenda aliandaliwa mtego wa kukatwa na kufunguliwa kesi ya ubakaji kwa kumuoa binti wa miaka 16 ambapo kwa mujibu wa sheria za Tanzania binti wa miaka 16 anahesabiw kuwa bado ni mtoto asiyeweza kufanya maamuzi makubwa kama hayo.
Hongereni sana watu wa kutetea haki za kinamama na watoto kwa kuandaa mtego huo.
![]()
Sijui kwa nini amekimbia lakini dini yetu inaruhusu.
Uhalali kutokana kwa vigezo vipi? Miaka 16 hata Shile ahamaliza wewe unasema halal. Aiseee
Duuuu 30 kwa 16 anaoa mwanae.