WANALIZOMBE
Member
- May 18, 2011
- 50
- 14
Karibu sana. Hilo jina ni la kikundi au lako peke yako?
Unavyoyajua maeneo ya huko, ni kwenu au katika mizunguko tu. Na hilo jicho kwenye avita ni kwangu tu au kila mtu..tehe..teheumeona enhh?
umenichekesha jaman...itakuwa kaibeba lizaboni,mfaranyaki,matarawe,misufini,majengo,manzese,matogoro mpaka peramiho yote kapita lilambo katokea luhuwiko alishuka kidogo maposen now yupo jf...uyumwiki wa bambu?monil!!!
karibuuuuuuuuuuu!!!!!
salaam MA BIBI na MA BWANA, nachukua fulsa hii kujitambulisha kwenu.
Ahsanteni
umeona enhh?
umenichekesha jaman...itakuwa kaibeba lizaboni,mfaranyaki,matarawe,misufini,majengo,manzese,matogoro mpaka peramiho yote kapita lilambo katokea luhuwiko alishuka kidogo maposen now yupo jf...uyumwiki wa bambu?monil!!!
karibuuuuuuuuuuu!!!!!
dhu! mamitooo, mwonire!
Unavyoyajua maeneo ya huko, ni kwenu au katika mizunguko tu. Na hilo jicho kwenye avita ni kwangu tu au kila mtu..tehe..tehe