Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,258
- 166,384
wakaribishwa sana.wakulu, nimeamua rasmi kuwa mmoja wenu, hii yote ni katika jina la uwazi, ukweli, spidi na viwango
msisahau kunikumbusha protokali ikiwa nitaenda ndivyosivyo
Hapa ndipo itokako sauti ya mtu aliaye nyikani