Bwana amenituma kuja humu!

urushe risasi gani? si unajua uchumba huwa unavunjika lakini? mara ya 99 hii.......
Nitamruhusu Sipo anitafute? ohhh?
ZD kama Chrispin anakuzingua niPM tu hamna shaka mie kijana mtanashati nimetulia, macho hayageukigeuki kama ya papa, nina maadili sijawahi kudanganya mwanamke, utafurahia maisha siku zako zote. Hakika hutajiuliza siku zote ulikuwa wapi hujanipata. Njoo ZD achana na mikagasiko ya moyo njoo penye pumziko lako la kweli
 
Karibu,lakini huyu bwana gani aliyekutuma?

naomba nichukue fursa hii kusaidia kutoa majibu:

lakini pia niombe radhi maana nna mashaka ikiwa huyu jamaa yetu ana bwana mmoja au wengi?

uwazi, ukweli......huyu ni bwana yule ambaye kwa mujibu wa katuni ya GADO, if mwalimu were to return today, alikuwa wa kwanza kula viboko.

spidi na viwango......huyu ni bwana ambaye hivi karibuni alisikika kule mjengoni akidai kama watu wanadhani waheshimiwa wanafaidi na posho 2*2au 2-2 au 2+2 au 2&2...nao waende majimboni wakagombee.

na mwisho swali kwa mgeni....vipi bwana wa ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya hajambo?
 
Hahahaaaa!! huu ni uchambuzi yakinifu au Upembuzi sahihi?............Like that!!
 
Tar'tib yakhe, wengine kule Lamu ukisema bwana kakutuma ina maana tata.

Na wengine sie mabwana, hatuna mabwana, sasa ukisema bwana aliyetutuma sisi ni kama unatutukana.
 
naomba nichukue fursa hii kusaidia kutoa majibu:

lakini pia niombe radhi maana nna mashaka ikiwa huyu jamaa yetu ana bwana mmoja au wengi?

uwazi, ukweli......huyu ni bwana yule ambaye kwa mujibu wa katuni ya GADO, if mwalimu were to return today, alikuwa wa kwanza kula viboko.

spidi na viwango......huyu ni bwana ambaye hivi karibuni alisikika kule mjengoni akidai kama watu wanadhani waheshimiwa wanafaidi na posho 2*2au 2-2 au 2+2 au 2&2...nao waende majimboni wakagombee.

na mwisho swali kwa mgeni....vipi bwana wa ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya hajambo?

Ni mtizamo tuu mkulu, ingawa nauheshimu sana. Bahati mbaya sikuwa nazungumzia watu. Kwakuwa haya si maandiko ya mungu, tunaweza kuongeza au kupunguza chochote tupendavyo
 
Tar'tib yakhe, wengine kule Lamu ukisema bwana kakutuma ina maana tata.

Na wengine sie mabwana, hatuna mabwana, sasa ukisema bwana aliyetutuma sisi ni kama unatutukana.

Hahahah!!! mi sitoki Lamu yakhe, wala sitoki kwa kina bwana semenya!
 
Tar'tib yakhe, wengine kule Lamu ukisema bwana kakutuma ina maana tata.

Na wengine sie mabwana, hatuna mabwana, sasa ukisema bwana aliyetutuma sisi ni kama unatutukana.

Hi! Whats yo!

Long time bro no see ya dude. A u ok?
 
No comment....sina hakika imeandikwa nabii Musa alikuwa na kichaa!

Kuna kauwezekano alikuwa namatatizo ya akili, hasa yale yanayo ambatana na kifafa (epilespsy). Soma kuhusu Simple Partial Seizures. Mtu anayepata hiyo anakuwa na "visions", na kama ni mtu mwenye uwezo mzuri wa kushawishi watu, basi ndio kama vile. Na kuna dini kadhaa za hivi karibuni zimeanzishwa na watu wanaojulikana kuwa na matatizo hayo (he Seventh Day Adventist, Buddha, etc).

Soma hii:
http://www.bbc.co.uk/science/horizon/2003/godonbrain.shtml

Pia watu wenye kichaa wana delusions (kuamini vitu ambavyo havipo), na illusions (ku-perceive vitu tofauti na vile vitu halisia vilivyopo kwenye mazingira yao).

Ndio maana si kila anayetokewa na Bikira Maria anafanywa kuwa mtakatifu kwa sababu wengine ndio hivyo wana matatizo ya akili. Sasa sijui nani anauhakika kwamba hao wengine waliobaki hawana matatizo ya akili.
 
Nilikuwa sijui kama wote humu ndani ni kapoz...Nahitaji mwongozo, tulio singo tutoke au........?

Mwende wapi na humu kuna uzima, tena uzima wa kutosha
icon10.gif
 
Kuna huyo mwenye jina la Jones -Fisadi ameniacha hoi ndo nyie mnaokula pesa zetu eeh hahahahahaaaaaaa
 
Back
Top Bottom