Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
Location please
Location please
Ipo msasani mkuu, if you're not doing anything this weekend and if I'm not on duty this weekend perhaps we can go.n.grab some prawns, some.crabs etc.Location please
Napenda prawns that's y I'm asking. Sorry if I trouble youIpo msasani mkuu, if you're not doing anything this weekend and if I'm not on duty this weekend perhaps we can go.n.grab some prawns, some.crabs etc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nungwi white sand!Napenda sea food. Wapi hii?
No troubles at all mkuuNapenda prawns that's y I'm asking. Sorry if I trouble you
Daudi bhana! Kupika tu ama na kuku attend?bado ila huwa anakuja weekend kunipikia.
Daudi bhana! Kupika tu ama na kuku attend?
kweli aisee hata mm nimewaza hivoMkuu unakula vizuri lazima kijungu kitakuwa kinakaribia kutatuta suruali
Kwa lugha rahisi ni kwamba bado! Nafasi bado iko wazi..nataka nitume application mkuu ili tukipika kuku mipaja yote yangubado ila huwa anakuja weekend kunipikia.
Ila bro oa kama huna kibamia...nina mdogo wangu...ana akili...ni mshamba mshamba...na ana tako off course!kupika, kufua na kucheza-cheza.
Mkuu hii pasi matata naomba nipe mimi lukakuIla bro oa kama huna kibamia...nina mdogo wangu...ana akili...ni mshamba mshamba...na ana tako off course!
Kwa lugha rahisi ni kwamba bado! Nafasi bado iko wazi..nataka nitume application mkuu ili tukipika kuku mipaja yote yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshatuma mkuuhebu tuma application haraka sana PM nitaipokea kwa mikono miwili.