Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Napenda sea food. Wapi hii?
Seafood mbona za kuvente tu mkuu dsm??Napenda sea food. Wapi hii?
Hapana mkuu nataka nitume application ili nikale mipaja peke yangu
Hahahaha, daah mkuu kweli unaona mbaliHapana mkuu nataka nitume application ili nikale mipaja peke yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu swali langu bado
Though sio mimi nliyepost seafood but what I meant is that there are several places in dar you can enjoy seafood with good winesHujajibu swali langu bado
Labda hukuelewa swali langu,ni wapi na wapi kati ya hizo nyingi unazo zikusudia kuzimaanisha hapa?Though sio mimi nliyepost seafood but what I meant is that there are several places in dar you can enjoy seafood with good wines
Sent using Jamii Forums mobile app
For starters, cape town fish marketLabda hukuelewa swali langu,ni wapi na wapi kati ya hizo nyingi unazo zikusudia kuzimaanisha hapa?