Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,663
Huu mbona kama ni ule mchele wa plastic
Zote mboga, wapi ugali?
Hahah chief unajua kiafya si vyema sana kufukia usiku kivile utapata digestive problems buree.Hio menu ndio niligonga jana pia, sema chakula cha kitoto hiko! Tengeneza mwili kijana ongeza mlima!
Si unajua mkono wangu mwenyewe chiefmbona ubwabwa km ugal wal unatakiwa uchambuke so unajikusanya hivyo km zege
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila kitu sasa kimekuwa siasa, hata kwenye mapenzi wenye vibamia watakuambia imeshauriwa kisayansi si vyema kuwa na dude refu!
Hahah, I workout brahMkuu unakula vizuri lazima kijungu kitakuwa kinakaribia kutatuta suruali
Mkuu wewe ni mdau wa speed (pistol/miguu ya kuku) nini?huwa sipendi paja la kuku, sijui hata kwa nini.
oohh barid,km mwanamk niltaka ukachukue mahari yako
Ebwana eeh