donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Usijali mkuu kuna dinner n' desertSisi wa mikoani hatuwezi kushiba hapo mkuu
HahahaOngeza msosi kijana acha masihala [emoji23][emoji23][emoji23]
Philips X2560
Mkuu, inashauriwa kisayansi si vyema kushindilia sana misosi usikusa kamsosi kenyewee daaah
Upo sahihi kabisa mkuu, pata like kwanzaKama sijakosea kasema ni dinner kama ndo hivi hushauriwi kula Chakula kingi hivyo mkui
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona ubwabwa km ugal wal unatakiwa uchambuke so unajikusanya hivyo km zege
Kila kitu sasa kimekuwa siasa, hata kwenye mapenzi wenye vibamia watakuambia imeshauriwa kisayansi si vyema kuwa na dude refu!Mkuu, inashauriwa kisayansi si vyema kushindilia sana misosi usiku
Sent using Jamii Forums mobile app