membe ndiye mgombea wa ovyo kuliko
haongei vibaya juu ua UFISADI
haongei juu ya maendeleo
ANACHOchochea NI kuitaka TANZANIA ijiunge na OIC na kuleta mahakama ya kadhi
Kitu Makongoro hao wengine wanajisumbua
membe anataka kuigeuza tanzania kuwa nchi ya kiislamu eti tutapata misaada kwakujiunga na ioc waarabu wanalipi jema maskini wakubwa.wabaguzi wa rangi tujiunge nao iliweje zaidi ya kutuletea magaidi .huyu hafai kuwa raisi anaendelea kuifanya tanzania kuwa ombaomba .kwanza kwenye utumishi wake kama waziri wa mambo ya nje kawafanyia nini watanzania

Jana nimeota kama Lowassa president alafu Membe waziri mkuu hivi.
Umeharibu upepo kilaza wewe, huyo membe uislamu wake uko wapi? Sisi waislamu hatumtaki hata kumsikia, kafanya nini cha maana hata athubutu au atamani kuwa rais wa nchi hii,
Wizara yake ni moja ya Wizara hovyo kabisa amabazo zina kashfa kubwa, balozi zote zimejaa watoto wao, balozi zote zinaongoza kwa matumizi mabaya ya pesa za umma,
Balozi zao mpaka zinaajiri wageni toka nchi nyingine wakati watanzania hapa tunapiga misele na elimu hakuna kazi,
Huyu membe, Lowassa, Tyson sioni cha maana chochote kwao, miaka wamekaa kwenye system hakuna hata kimoja walichofanya hata kwenye Wizara tu wanazoongoza ije kuwa nchi nzima Leo,?