BVR Yamkataa Goodluck Jonathan Nigeria

BVR Yamkataa Goodluck Jonathan Nigeria

Alionekana ku panic sana...mwenzie Buhari bvr imemkubali bila vikwazo.hahaaaaa
Ila atapita,kasikazini wengi hawatapiga kura.goodluck alitumia akili sana kuwaacha boko haramu wafanye watakavyo kule kaskazini.
 
BVR ZA NIGERIA NDIO ZILE ZA KENYA!!!!!

WANGECHUKUA KAMA ZILE ZA MALAWI HUWEZI KU TEMPER NAZO NA NDIO MAANA ZIKAMDONDOSHA MAMA BANDA

ZILE ZA MALAWI NDIO NEC_ KUPITIA SERIKALI DHAIFU WALIZIKATAA TENA ZA MSAADA NA MKOPO

JIULIZENI WHY WALITAKA KUAZIMA KENYA OR NIGERIA KWENYE MAZONGE?

Jibu ni moja ili wapate nafasi ya kuzi-hack na jubadili matokeo
 
BVR ZA NIGERIA NDIO ZILE ZA KENYA!!!!!

WANGECHUKUA KAMA ZILE ZA MALAWI HUWEZI KU TEMPER NAZO NA NDIO MAANA ZIKAMDONDOSHA MAMA BANDA

ZILE ZA MALAWI NDIO NEC_ KUPITIA SERIKALI DHAIFU WALIZIKATAA TENA ZA MSAADA NA MKOPO

JIULIZENI WHY WALITAKA KUAZIMA KENYA OR NIGERIA KWENYE MAZONGE?

Jibu ni moja ili wapate nafasi ya kuzi-hack na jubadili matokeo

Mkuu habari za masiku ktk jukwaa hili.
Always dirty games are played by those with dirty hands.pia birds of the same feathers flocks together
 
SOMA NA HII RASIMU YA KATIBA HAPA BOFYA https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...tuu-ni-muhimu-kusoma-hapa-3.html#post12288711

Naomba kuchukua nafasi hii kuitaarifu Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi kuwa makini na ubora wa mashine maalumu za BVR zitakazotumika kwenye zoezi zima la uandikishaji na uchaguzi.

Katika uchaguzi mkuu wa leo nchini Nigeria, Rais anayewania muhula wa pili Bwana Goodluck Jonathan mashine ilikataa kumtambua mara tatu kabla ya kufanikiwa.

Hali hii inaweza kupelekea upotezaji wa muda na hofu kwa mhusika, Kwa hiyo Wajipange Kweli Kweli!
 
Maisha yetu wa-Afrika ni ya suluba mfano kupukuchua mahindi makavu vya vidole, kupiga randa mbao kwa mashine za kizamani, jembe la mkono, kufua nguo kwa mkono, kuipua jungu la maharage ya moto kwa mikono mitupu, kuvuta kokoro ziwai n.k lazima finger print a.k.a alama za vidole ziwe zinabadilika kila wiki, ''BVR -vote- machine'' ni kwa ajili ya dunia ya kwanza ambayo mambo yote yanfana kitekenolojia.
 
Itakuwa bomba sana hapa kwetu kama zitamkataa mgombea yeyote toka ukoo wa mafisi na mapanya. Ila sidhani kama hizi zitatumika maana zilihitajika mashine 17,000 kwa ukwasi wakaamua kwamba wangenunua mashine 8,000 tu lakini hata hizo wakashindwa kuzinunua na kuishia kununua mashine 250 tu labda watajaribu kuazima tena toka Kenya au Nigeria.
 
Ni kawaida kwa hizo mashine inategemea orientation ya vidole kama unaweka kama vile ulivyoweka wakati wa kuchukuliwa your finger print.

Sababu ingekuwa hiyo si wahusika wangemwelekeza tu jinsi ya kuweka vidole?!

Imeshindikana hadi akapiga kura yake kwa kutumia utaratibu wa kawaida i.e. Manually!
 
Back
Top Bottom