JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,795
- 9,153
Naomba kuchukua nafasi hii kuitaarifu Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi kuwa makini na ubora wa mashine maalumu za BVR zitakazotumika kwenye zoezi zima la uandikishaji na uchaguzi.
Katika uchaguzi mkuu wa leo nchini Nigeria, Rais anayewania muhula wa pili Bwana Goodluck Jonathan mashine ilikataa kumtambua mara tatu kabla ya kufanikiwa.
Hali hii inaweza kupelekea upotezaji wa muda na hofu kwa mhusika, Kwa hiyo Wajipange Kweli Kweli!