BVR imethibitisha kuna watu ni mapepo

BVR imethibitisha kuna watu ni mapepo

Inawezekana kwa sababu siku zote kwenye msafara wa mamba hata kenge pia wapo.

Hata pale kona bar/sinza kuna majini/mashetani wengi sana, walio katika maumbo ya kike.
 
Siyo kwamba mashine zinashindwa kuscan alama za vidole, ni kitu kingine tu waeleze vizuri, sanasana ni tatizo la kiufundi. As kwa huko Malaysia kilichotokea nadhani ni kwamba scanner inascan, inapojaribu kutafuta taarifa za mtu huyo kwenye database inakosa. Sijuwi hao watu walikuwa na passport za wapi, nchi nyingine passport zao zina chip inayohifadhi taarifa. Scanner haishindwi kuscan hata uweke tak.o, labda iwe na tatizo tu. Lakini wabongo watakimbilia uchawi, uchawi hauna nafasi kabisa kwenye teknolojia.
Rene Jr ni rahisi sana kuongea hivyo lakini kumbuka hata ndani ya NASA kuna kitengo maalum cha ushirikina?

Wale watu walikuwa ni raia wa Malaysia wana passport zao zenye details zote lakini mitambo ya border zote mbili zilishindwa kusoma na si kwamba passport hizo zilikuwa bandia la hasha

Kitu kingine muhimu usichanganye mapepo/roho na uchawi ni vitu viwili tofauti japo vina interaction ya karibu
 
Last edited by a moderator:

Wanatumia tunguli eeh?:glasses-nerdy:
Hayo mapepo, holly and unholly spirits, wanga, wachawi na vigagu hawana uwezo wa kumanipulate teknolojia kwa namna yoyote!
 
Siyo kwamba mashine zinashindwa kuscan alama za vidole, ni kitu kingine tu waeleze vizuri, sanasana ni tatizo la kiufundi. As kwa huko Malaysia kilichotokea nadhani ni kwamba scanner inascan, inapojaribu kutafuta taarifa za mtu huyo kwenye database inakosa. Sijuwi hao watu walikuwa na passport za wapi, nchi nyingine passport zao zina chip inayohifadhi taarifa. Scanner haishindwi kuscan hata uweke tak.o, labda iwe na tatizo tu. Lakini wabongo watakimbilia uchawi, uchawi hauna nafasi kabisa kwenye teknolojia.
Asante.
 
ni michezo tu ili mpate muda wa kufikirisha bongo....viganja vinakuwa kama miti japo kwa macho ya kawaida unaona ni viganja kamili
umeona ile video ya ifakara yule jamaa anayeshindwa kuangalia kabisa camera ili apigwe picha? Mwenye kuitaka aniambie nimtumie

mimi naomba unitumie plz
 
Ni michezo tu ili mpate muda wa kufikirisha bongo....viganja vinakuwa kama miti japo kwa macho ya kawaida unaona ni viganja kamili
Umeona ile video ya ifakara yule jamaa anayeshindwa kuangalia kabisa camera ili apigwe picha? Mwenye kuitaka aniambie nimtumie

Nitumie mimi hiyo video, now nipo hapa star point nimeanza weekend
 
Wanatumia tunguli eeh?:glasses-nerdy:
Hayo mapepo, holly and unholly spirits, wanga, wachawi na vigagu hawana uwezo wa kumanipulate teknolojia kwa namna yoyote!

But at least they can tease with technology or rather I can say playing games with tech
 
Hawana athari yoyote zaidi ya kucheza na akili za watu kama hivyo yalivyoacha sintofahamu kwenye vituo husika

Mkuu hivi wewe ni wa dini gani?
Ukijibu ntarudi kwaajili ya swali la msingi
 
Back
Top Bottom