BVR imethibitisha kuna watu ni mapepo

BVR imethibitisha kuna watu ni mapepo

Mkuu MSHANA JR mimi pia bvr iligoma mara 2 yatatu ikakubali nisaidie taf. kujua kama nina pepo au ni mtu niliekuwa jirani nae???
 
Kuna uzi ulipost kwamba uko bagamoyo kwaajili ya field ya mambo ya kichawi.

Lengo lako ni nini kujifunza/kupractice uchawi?
Kuna faida gani kujifunza mambo ya ulimwengu wa giza?

Hata sasa niko huku na sio kuwa natania, unaweza fanya location search utajua niko eneo gani
Sikuanza leo kujifunza hizi mambo nina zaidi ya miaka 15 sasa, naweza sema ni hobbie tu kama kujifunza fani nyingine yoyote ile
Kwenye ulimwengu wa roho, mapepo na mambo ya giza kuna ' a lot of amazing facts' ambazo ni ngumu kuzipata kwenye elimu ya kawaida
NB: Ukristo wangu ni imani yangu na naiheshimu sana na wala sina contradiction kati ya nijifunzayo na imani yangu
 
Mkuu MSHANA JR mimi pia bvr iligoma mara 2 yatatu ikakubali nisaidie taf. kujua kama nina pepo au ni mtu niliekuwa jirani nae???

Hahhahaaaaa hapana wewe huna kama lilikuwepo lilikuja kwa muda tuu
 
Sayansi yako inaishia kwenye ushirikina. dont waste our time here! Tuwekee CV yako kwanza
 
mshana jr

Mi mara ya kwanza mashine iligoma kusoma alama za vidole na picha ilikua inatoka kivuli tu nikarudia kama mara tatu hivi ndipo ikakubali but mi ni binadamu wa kawaida kabisa na muumini mzuri tu wa Kanisa Katoliki.
 
Last edited by a moderator:
mshana Jr katika ubora wake hizi mada zako huwa sipiti bila kuisoma najua lazma kuna kigeni nitajifunza.....
 
Hata sasa niko huku na sio kuwa natania, unaweza fanya location search utajua niko eneo gani
Sikuanza leo kujifunza hizi mambo nina zaidi ya miaka 15 sasa, naweza sema ni hobbie tu kama kujifunza fani nyingine yoyote ile
Kwenye ulimwengu wa roho, mapepo na mambo ya giza kuna ' a lot of amazing facts' ambazo ni ngumu kuzipata kwenye elimu ya kawaida
NB: Ukristo wangu ni imani yangu na naiheshimu sana na wala sina contradiction kati ya nijifunzayo na imani yangu

Mkuu huwezi kuchanganya imani mbili kwa wakati mmoja, shetani kazi yake ni kuvizia na kuharibu.

Ukikaa vibaya unakuja kuwa mganga wa kienyeji
 
Hata sasa niko huku na sio kuwa natania, unaweza fanya location search utajua niko eneo gani
Sikuanza leo kujifunza hizi mambo nina zaidi ya miaka 15 sasa, naweza sema ni hobbie tu kama kujifunza fani nyingine yoyote ile
Kwenye ulimwengu wa roho, mapepo na mambo ya giza kuna ' a lot of amazing facts' ambazo ni ngumu kuzipata kwenye elimu ya kawaida
NB: Ukristo wangu ni imani yangu na naiheshimu sana na wala sina contradiction kati ya nijifunzayo na imani yangu

Mimi nina tatizika sana when u inform ppo kkuwa yoga is about finding the "inner self" "projecting ur soul" etc... of course at the beginning it may sound normal but later is all about "contacting the spirits" . Naona ni kupoteza watu..
Human soul has always desired something higher n more powerful. But God gave us a limit. . U cant cross that you unless you are "assisted". You know what I mean
 
piego I wish one day we can have a face to face argument about these things, it may unveil many ambiguous/anonymous staled facts about spirits, souls, witchcraft and the like
 
Last edited by a moderator:
Kaka inategemea na fani za watu. Kuna mafundi ambao kwenye kazi zao hutumia material tofautitofauti ambazo ni vichubuzi kama mafundi uashi (Masons) ambao hutumia saruji bila kuvaa gloves hivyo kuharibu alama za vidole na ndio matatizo kama haya hutokea. Sio kwamba ni vigagula.
 
Bvr, scanner, fingerprints,kitambulisho n.k maneno ambayo yametajwa sana mwaka huu.....misimu nadhani
 
Sayansi Na Ulimwengu Wa Roho Au Mapepo Wapi Na Wapi?
 
Back
Top Bottom