TV1 CCcam 6months utaipata kwa 75,000/= kwa njunwa wamavoko tuMi natumia Q-sat, but nataka kutumia hiyo TV1 CCcam ni bei gani?
Kwa sasa Qsat Q11G,Q13,Q15,Q16 na Q17G hazitengenezwi tenaJe una q-sat15 hd
Test hii CCcam afu toa update stabilityOk, nitakucheck whatsapp
Magicbox support Terrestrial TV and satellite TV
Free local channels
Free Dst^ channels
Magicbox support Terrestrial TV and satellite TV
Free local channels
Free Dst^ channels
Hamna receiver kwa sasa utaishindanisha na Qsat Q28G hapa Tanzania kwa budget ndogo ya 75,000/= mpaka 280,000/=Receiver za HD premium zipo kama zipo... Je zina nn cha ziada ukilinganisha na qsat q28g.
Hamna receiver kwa sasa utaishindanisha na Qsat Q28G hapa Tanzania kwa budget ndogo ya 75,000/= mpaka 280,000/=
Kwa sasa si mshauri mtu kununua Receiver mpya may be end of this monthNahitaji hizo Qsat Q28g. Je zikiwa na CCcam ni sh ngapi.?
Kwa sasa si mshauri mtu kununua Receiver mpya may be end of this month
Ukinunua sasa ni at your Own risk
Kwani mwisho wa mwezi kuna receiver kutoka kampuni mpya zinatoka ...!
Je wenye hizo Qsat sasa zitaisha mda wake mwisho wa mwez huu....!
magicbox support terrestrial tv and satellite tv
free local channels
free dst^ channels
Kwa sasa si mshauri mtu kununua Receiver mpya may be end of this month
Ukinunua sasa ni at your Own risk
Msalimie TrumpHii kitu nimeona inatumika sana nje (Ulaya + Amerika), ila kwa Bongo hivi mitandao ya simu inatoa huduma ya intaneti yenye kasi kuweza kuhimili streaming isiyokwama?
Hili ni tatizo la setting za dish, Signal na quality hazijitoshelezi.Sijazipenda Ila pia hapa kwangu mawingu au hata manyunyu tu
NO SIGNAL