Wadau. Naomba nieleweshwe ni kwa nini Azam tv kama moja ya local channel haiwekwi kwenye ving'amuzi kama zilivyo tv station nyingine .
Kama mlivyotoa mwongozo ni haki kwa local channel kuonekana popote katika ving'amuzi vyetu.
======================================
Majibu Kutoka TCRA
Kama mlivyotoa mwongozo ni haki kwa local channel kuonekana popote katika ving'amuzi vyetu.
habari wadau.
toka siku ya jana matangazo ya local chanel au chanel za ndani kwa watumiaji wa azam tv yalikatishwa ghafla na hayapatikani hadi muda huu isipokuwa chanel ya tbc na tv imaan.
nilipojaribu kufanya mawasiliano na kituo cha huduma kwa wateja niliambiwa kwamba kuanzia sasa chanel zote za ndani hulipiwa.
nikajaribi pia kuwasiliana nao kwa njia ya email lakini ni masaa zaidi ya kumi sasa hawajajibu.
swali langu ni kwamba.
je ni kwelu chanel za ndani ya nchi yetu zinalipiwa ?
kama zinalipiwa,inakuaje chanel za nje kama AFRICAN TV,PEACE TV,QURAN TV,SUNNA TV,STV NOTICIAD,IBNTV AFRICA,HOME BASE GHANA,QTV ZAMBIA na nyinginezo kupatikana na hali ya kuwa zile za ndani hazipatikani ?
Asalam alyekum,
Nashindwa kuamini kabsa hiki kinachonyokea hapa. Mimi ni mteja wa awali kabsa wa Azam TV. Nlikua nafurahia Huduma yenu kwelikweli, but tatzo lilianza wiki iliyopita kwa kuziondoa kabsa Chanel 2, star TV na tv1 bila taarifa yeyote wakati MNA no yangu ya simu. Is it fair??
Nikiwa naendelea kuwatafta kw a no zenu za simu na email yenu ya Huduma kwa Wateja bila mafanikio, Jana mkaanza kuondoa accessibility ya Chanel moja badala ya nyingine hAdi kubakia Azam extra pekee kabla baadae kunirudishia TBC.
Bonafsi nilihisi labda kifurushi kimeisha coz sio kawaida kutokea na kwa sababu huwa nalipia. 12,000 (Azam pure) na kwa sababu Leo mmenilazimisha kuangalia matangazo yenu, nkakuta Azam pure imekua 15,000 badala ya 12,000 huku kukiwa kumeongezwa Chanel za sport .
Kituko cha mwaka kimenipata baada ya kulipia hiyo 15,000 saa12 jion, hadihad I mda huu SAA 9 usiku Chanel hazijafunguka ndo nnapogundua mmeingia kwenye mkumbo wa kulewa sifa sasa.
Sielewi MNA tatzo gani?? Kwa nn msiwe na 24 hrs call center service? Tatzo nn?? Kwa nnavyofahamu Mimi Chanel 5 za kitaifa hazitakiwi kukatwa haya Kama haujalipia! He sheria zimebadirika?? Haya sasa mteja analipia had I massa takribani 10 hapati Huduma!!!
Note: mkiendelea hivi, hamtafika kabsa.
Hii no yenu nkiiona natamani kutapka kabsa 0764700222 coz haina msaada.
======================================
Majibu Kutoka TCRA
AZAM TV ina leseni ya "satellite by Subscription" mfumo wa malipo kupitia satelait. Azam Ina kingamuzi chake.
Iko mifumo minne ya utangazaji;
1. Satellite - Zuku, DSTV, Azam
2. Cable TV - utangazaji kupitia mfumo waya
3. Digital Terrestrial - Agape, Basic a Transmission - Continental na Digitech- star times ( huu Ndio mfumo mpya baada ya kuzima analojia Na ndio Wence sharti kuweka free to air channels za kitaifa bure?
4. AITV / Mfumo wa utangazaji kupitia internet.
AZAM sio "free to air" Kwenye DTT hivyo leseni yake aliyochagua ni ya kukipia kupitia kingamuzi chake. Akitaka aingie kwenye vingamuzi vingine atatakiwa kuwa na leseni ya Maudhui ya DTT.
Ziko channel nyingi tu za kulipia Kama za Azam Kama Sikuba nk lakini kuzipata lazima ulipie.
TV zote local sio lazima kuonekana bure isipokuwa zile 5 za kitaifa za mfumo wa DTT.
Zingine huonekana endapo uko eneo zinakorushwa na kama ni za bure.