iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,933
ataacha kusaini haki zao za matibabu kama alivyoshauri shein asisaini kwa seif? za mwinyi atazizuia?Mimi sijaribiwi Leo mmeanza kuniita Tembo tena bagoshaa hiii nitawafanyizia
ataacha kusaini haki zao za matibabu kama alivyoshauri shein asisaini kwa seif? za mwinyi atazizuia?Mimi sijaribiwi Leo mmeanza kuniita Tembo tena bagoshaa hiii nitawafanyizia
Teh teh aya buanaMwili mkubwa akili kisoda![]()
manyoya kwenye mabawa yananyonyolewaNguvu nyingiii wazeee wa ccm wanamchana maraika mkuuuu
Teh teh teh nimecheka sana mpaka mwanangu kanishangaa anauliza baba kuna nini.hahahaa.....kuna stori moja ya tembo,kwamba ikitokea sisimizi au siafu akaingia kwenye mkonga wake,basi ataupiga piga mkonga kwenye miti,na anaweza hata kujiua kwa kujipiga hivyo
Butiku,mwinyi na warioba wajiandae kwa kesi za uchochezi.manyoya kwenye mabawa yananyonyolewa
hata hujishangai kuropoka hukuKwa hiyo unaamini Rais Magufuli ni tembo?
Unasoma heading ya gazeti la CHADEMA halafu unakuja mbio Jamiiforums kuweka thread.
Hivi akili zenu mmemkabidhi nani?
Mkuu hapo tembo kachuchuma maanake kaufyata. Kapewa za uso vijana wa lumumba wamebakia na matusi kama bendera fata upepo.Halafu haya mashambulizi yamekuwa na speed kali sana na katika kipindi cha muda mfupi tu. Wameshamjaribu asiyetaka kujaribiwa sasa tusubiri tuone reaction yake au anaweza kuuchuna tu kama katia pamba masikioni.
Na kwanini?Mimi sitaki kuona hata picha yake
Yaelekea hilo neno limekuudhi sana, unataka namba yake ya simu umuulize akwambie; sio kulialia huku jamvini wakati Mzee mwenyewe yupo, wacha hizo!!!bhutikhu pindi akiwa mkuu wa mkoa wa kanda maalum alikuwa anaongozaje?,
Je alikuwa anatenda haki kwa kabila zote za huo mkoa,au pia alikuwa ni tembo kwa baadhi ya makabila?.
Au ndo kusema kunya anye kuku akinya bata kaharisha??????????????.
PI AONGELEE KUHUSU HILI.
maneno yako yana ukweli mtupu,huyo Warioba mwanae aliahidiwa jimbo la kawe akakwaa kisiki cha Halima Mdee kipindi cha uchaguzi walikuwa kimyaa huku wakikisapoti chama chao pendwa pamoja na yule palepale wa ubungo unafiki tu.CCM woote siwaamini. Haya majitu manafiki kweli. Warioba, Butiku na wenzao walituaminisha kupitia mchakato wa katiba mpya uliovurugwa na chama chao.
Kipindi cha uchaguzi wote walirudi na kukipigia kampeni chama chao. Zanzibar uchaguzi umevurugwa huku wakiangalia.
Upumbawavu sitaki mie
Majitu majinga kweli siwaamini kabisamaneno yako yana ukweli mtupu,huyo Warioba mwanae aliahidiwa jimbo la kawe akakwaa kisiki cha Halima Mdee kipindi cha uchaguzi walikuwa kimyaa huku wakikisapoti chama chao pendwa pamoja na yule palepale wa ubungo unafiki tu.
watu washamchoka juma,huo ndo ukweli,mtu kaacha kutumia gari mwaka 75 leo miaka 40 mbele unamwambia alipe road licence,Huyo pia kaguswa, butiku alikuwa mkuu wa mkoa wa mara, yeye alifanya nini? Wakae kimya sindano ziwaingie