Butiku: Rais tembo hatufai

Butiku: Rais tembo hatufai

baada. ya raisi mwinyi kutoa ya moyoni sasa ni zamu ya Butiku.

"RAISI ASIWE KAMA TEMBO"..

raisi ajali utu wa MTU.

soma zaidi gazeti LA Mtanzania
CCM woote siwaamini. Haya majitu manafiki kweli. Warioba, Butiku na wenzao walituaminisha kupitia mchakato wa katiba mpya uliovurugwa na chama chao.

Kipindi cha uchaguzi wote walirudi na kukipigia kampeni chama chao. Zanzibar uchaguzi umevurugwa huku wakiangalia.

Upumbawavu sitaki mie
 
Huyo pia kaguswa, butiku alikuwa mkuu wa mkoa wa mara, yeye alifanya nini? Wakae kimya sindano ziwaingie
 
Jpm ana matatizo makuu mawili yanayomwelemea na anashindwa kuwa wazi kuonyesha ana mlengo gani na matokeo yake ndio hayo majina yanachipua kama uyoga, inabidi aamue kuwa upande wa chama tu au upande wa Taifa kwanza chama baadae ....afande Sele kasema....." baridi au moto na sio vuguvugu "
 
Definition means,Nguvu mingi akili kiduchu kwa uelewa wangu

[HASHTAG]#usiombe[/HASHTAG] tembe avamie kijijini kwenu anapavuruga hatari hata akiwa ni mmoja tu.
 
Jpm ana matatizo makuu mawili yanayomwelemea na anashindwa kuwa wazi kuonyesha ana mlengo gani na matokeo yake ndio hayo majina yanachipua kama uyoga, inabidi aamue kuwa upande wa chama tu au upande wa Taifa kwanza chama baadae ....afande Sele kasema....." baridi au moto na sio vuguvugu "
Mbona yupo ccm,wewe huoni alivyozuia mawazo mbadala yasitoke kwa faida ya ccm? Mawazo mbadala ni muhimu kwa ujenzi wa nchi yetu ila ni mwiba kwa ccm kwa kuwa wanaccm wengi ni incompetent
 
huyu mzee na kutengua na kuteua anaipeleka nchi pabaya sana nashangaa watu wanaomuunga mkono wakati hospitalini hakuna dawa hali mtaani ngumu wafanyakazi wa serikalini wamevunjiwa mikataba yao
 
Kukurupuka na mwendokasi ndiyo zake hizo sasa anaisambaratisha nchi. Sitaki mtu anicheleweshe, msinijaribu. Usijaribiwe wewe Mungu!? Mungu pekee ndiye hajaribiwi. Haya akina Warioba, Mwinyi na Butiku wameshakujaribu kurupuka dhidi yao basi tukuone.
Watetezi wake watakuja kama mkizi kukushambulia,watakwambia kanunua ndege na kuokoa pesa za mwenge.Hawatakwambia ndege zina faida gani na pesa zilizookolewa zitafanya kazi gani.
 
halafu sio tanzania daima tu hata gazeti la mtanzania.....
Wacha muvi iendelee....
 
Duuh haya mashambulizi ya Wazee naona kuna jambo kubwa linakuja mbele. Jana Mzee Mwinyi, leo Mzee Butiku!
 

Attachments

  • 1476512475223.jpg
    1476512475223.jpg
    25.1 KB · Views: 42
Back
Top Bottom