Butiku: Rais tembo hatufai

Butiku: Rais tembo hatufai

Ni ngumu sana kumtete huyu mtu sasa hivi, hivi unaanzia wap? Msd hakuna madawa, ajira vijana hawana, mtaani maisha magumu, vyakula kila kitu kiko juu, telll huyu mtu kasaidia ninh? Everything is worse? Kagera kashidwa wasaidia, anatangaza kila siku kapokea michango, rai kule bado wanalala nje, ata kukanyaga kule kaonwa nongwa, hivi una mtetea vip huyu mtu? Ndege?!! Nini ndege, we need improvement of life ya watanzania that should the first consideration. Nani asie raumu hii leo?
 
Wameamua kufanya kweli, makombora mazito mazito ndani ya Ikulu. Asiyetaka kujaribiwa wamemjaribu, ole wake waliokuwa naye karibu atawatumbua wote.

Haya bhaana tukisema wengine hawakawii wa TCRA kutuchimba biti, bora wamesema wenye chama
 
Kukurupuka na mwendokasi ndiyo zake hizo sasa anaisambaratisha nchi. Sitaki mtu anicheleweshe, msinijaribu. Usijaribiwe wewe Mungu!? Mungu pekee ndiye hajaribiwi. Haya akina Warioba, Mwinyi na Butiku wameshakujaribu kurupuka dhidi yao basi tukuone.

Kikwete yy kaamua kutumia busara ya kumkalia kimya aone mwisho wa kurupushani zake...
 
Kwa hiyo unaamini Rais Magufuli ni tembo?

Unasoma heading ya gazeti la CHADEMA halafu unakuja mbio Jamiiforums kuweka thread.

Hivi akili zenu mmemkabidhi nani?
Hivi kwanini unapenda kubisha vitu visivyo na maana ? Kuna mada Jana Mwinyi alisema nchi inaendeshwa kama gari bovu ...ukaishia kubishia hiyo kauli ya gari bovu kana kwamba Tanzania hii wewe peke yako ndio una uwezo wa kupambanua mambo ,ukaulizwa kukatika kwa uhusukani maana yake nini hukujibu

Leo Butiku kasema yake unarudia undumilakuwili wa jana

Hata kama unalipwa kuna muda bora ukae kimya

Naheshimu mawazo yako humu ila unapokwenda huna tofauti na Lizaboni
 
Ni ngumu sana kumtete huyu mtu sasa hivi, hivi unaanzia wap? Msd hakuna madawa, ajira vijana hawana, mtaani maisha magumu, vyakula kila kitu kiko juu, telll huyu mtu kasaidia ninh? Everything is worse? Kagera kashidwa wasaidia, anatangaza kila siku kapokea michango, rai kule bado wanalala nje, ata kukanyaga kule kaonwa nongwa, hivi una mtetea vip huyu mtu? Ndege?!! Nini ndege, we need improvement of life ya watanzania that should the first consideration. Nani asie raumu hii leo?
Kifupi hatufai hatuwezi kuishi hivi bana
 
Magufuli naona alichemsha sana alipokatiza sherehe za mwenge dakika za mwisho na kuamuru fedha zirudishwe, huwezi wapelekesha watu hivyo na wakaridhika na wewe
Anajitengenezea wapinzani wapya ndani ya chama chake.... 2020 itakuwa ngumu sana kwa jpm kuliko anavyodhani..
 
Huyo buTIKUU hana lolote sindio hao walikuwa wanatumika kipindi cha Uchaguzi kutetea Chama chao tena kupitia MNF...leo anaongea nini
 
Back
Top Bottom