Butiku: Rais tembo hatufai

Butiku: Rais tembo hatufai

bhutikhu pindi akiwa mkuu wa mkoa wa kanda maalum alikuwa anaongozaje?,
Je alikuwa anatenda haki kwa kabila zote za huo mkoa,au pia alikuwa ni tembo kwa baadhi ya makabila?.
Au ndo kusema kunya anye kuku akinya bata kaharisha??????????????.
PI AONGELEE KUHUSU HILI.
 
mkuu naye anatumbuliwa hadharani na wazee wa chama kama yeye alivyokuwa anawatumbua akina kabwe na wenzie hadharani
 
bhutikhu pindi akiwa mkuu wa mkoa wa kanda maalum alikuwa anaongozaje?,
Je alikuwa anatenda haki kwa kabila zote za huo mkoa,au pia alikuwa ni tembo kwa baadhi ya makabila?.
Au ndo kusema kunya anye kuku akinya bata kaharisha??????????????.
PI AONGELEE KUHUSU HILI.
weee mjukuu wa tembo?
 
Tembo ana tabia ya ajabu sana.mara nyingi hupenda kutafuna miiba na pale anapojisaidia kinyesi chake hujaa miiba.ikitokea umekikanyaga kinyesi hicho miiba hiyo hukudhuru.
 
bhutikhu pindi akiwa mkuu wa mkoa wa kanda maalum alikuwa anaongozaje?,
Je alikuwa anatenda haki kwa kabila zote za huo mkoa,au pia alikuwa ni tembo kwa baadhi ya makabila?.
Au ndo kusema kunya anye kuku akinya bata kaharisha??????????????.
PI AONGELEE KUHUSU HILI.
tunaongelea ya wakati huu, usiturudishe nyuma hatutaki viongozi tembo na vifaru bila hekima hakuna uongozi
 
Kwa hiyo unaamini Rais Magufuli ni tembo?

Unasoma heading ya gazeti la CHADEMA halafu unakuja mbio Jamiiforums kuweka thread.

Hivi akili zenu mmemkabidhi nani?
Lakin hata gazeti la uhuru nalo huwa mbio zinakuja huku kwa hivyo tukae kimya tu kushuhudia mpambano.
 
Mimi sijaribiwi Leo mmeanza kuniita Tembo tena bagoshaa hiii nitawafanyizia
 
Halafu haya mashambulizi yamekuwa na speed kali sana na katika kipindi cha muda mfupi tu. Wameshamjaribu asiyetaka kujaribiwa sasa tusubiri tuone reaction yake au anaweza kuuchuna tu kama katia pamba masikioni.
katibu mkuu akimuachia chama,basi,ccm mazishi yake saa nane,katibu mkuu ndiye pekee ndani ya ccm.anayeweza kumkoromea,wengine wameufyata kulinda ugali
 
Back
Top Bottom