Butiku: Rais tembo hatufai

Butiku: Rais tembo hatufai

Kwa Tanzania ya Leo na ili kurudisha nidhamu , Raisi kuwa Tembo sio Jambo baya, Mwalimu licha ya kuwa na sera na Huo uongozi mzuri , nchi ilianza kum shinda na wasaidizi wake Ndio hao akina Butiku lakini faida Yao ya kuwepo wala hatukuiona au hatuioni licha ya mashirika ya umma kuliwa mwaka hadi mwaka mbele ya macho yao pamoja na vyama vya ushirika . Mimi ninaona kuna Watu WANa wivu kwa kuwa Huyu wa sasa anataka kuacha legacy ambao wengine walishindwa. Anaweza kuwa na mapungufu lakini Yupo more practical kuliko kuwa mwana siasa na matatizo ya nchi ya tanzania kwa sasa hatuhitaji hadithi za matumaini Bali vitendo . Hivyo Raisi maneno mengine ni ya kuyapuuza , sio Watu wote wana kutakia mema na wengine wanataka kuonekana kwamba bila wao mambo hayaendi au kuwa bado wapo relevant. Na ukiwa na nafasi siku moja muite offisini akushauri ubaya wa kuwa tembo na uzuri wa kuwa Kama waliopita na kushindwa kukidhi kiu ya watanzania .
 
Back
Top Bottom