Butiku: Rais tembo hatufai

Butiku: Rais tembo hatufai

Sina ukinyonga kuhusu Lowassa, lowassa ni fisadi siku zote na hakuna popote pale nilipoandika tofauti. Mzalendo hawezi kuunyamazia upuuzi ndani ya Serikali hii ambao umezungumziwa na Mwinyi, Butiku na Warioba. Anayefumbia macho upuuzi unaoendelea ndani ya Serikali hii ya dikteta uchwara hastahili kuitwa mzalendo.

Sio lazima utamke hayo aliyotamka butiku ndio uonekane Mzalendo! Kila mtu ana namna yake ya kufikisha ujumbe pale anapoona inastahili! By the way! Hata Lowasa naye alisubiri awe mzee ndio akahamia chadema, tena baada ya kunyimwa fursa ya kugombea urais? So sio lazima kila kinachotamkwa kiwe kweli kwa aslimia zote! Mwenyewe pia kauli zako humu ni kama kinyonga! At least msimamo wangu haukuwahi kubadilika over the years huo ndio uanaume!
 
Unauliza kitu ambacho kiko wazi kabisa kuhusu msimamo wangu kuhusu Nyerere na ule wa Tundu Lissu. Halafu huoni kama unauliza maswali ya kipuuzi!!!! una mtindio wa ubongo wewe si bure.

Hakuna maswali ya kipuuzi, Bali kuna majibu ya kipuuzi kama ya kwako!
 
Sina ukinyonga kuhusu Lowassa, lowassa ni fisadi siku zote na hakuna popote pale nilipoandika tofauti. Mzalendo hawezi kuunyamazia upuuzi ndani ya Serikali hii ambao umezungumziwa na Mwinyi, Butiku na Warioba. Anayefumbia macho upuuzi unaoendelea ndani ya Serikali hii ya dikteta uchwara hastahili kuitwa mzalendo.
Kinyonga namba moja hapa JF ni wewe, rekodi zipo wazi! Hakuna mwingine unayemfahamu kuzungumzia uozo katika nchi hii zaidi ya hao uliowataja? He sio hao wapinzani wanaokataa jitihada za Rais kuisafisha nchi?? Sio hao?
 
Unauliza kitu ambacho kiko wazi kabisa kuhusu msimamo wangu kuhusu Nyerere na ule wa Tundu Lissu. Halafu huoni kama unauliza maswali ya kipuuzi!!!! una mtindio wa ubongo wewe si bure.
Tatizo lako husomi ukaelewa! Inawezekana lisiwe kosa lako Bali ikawa ni changamoto ya umri tu! Pole!
 
....Kwa mwenye akili fupi na za kushikiwa kama wewe. Unaposema kinyonga bila ya kuwa na uthibitisho hata chembe wa ukinyonga wangu unakuwa VUVUZELA tu unapiga kelele lakini huna ushahidi wa kuthibitisha kauli yako. Huwa sikurupuki ninapoandika hapa.

Kinyonga namba moja hapa JF ni wewe, rekodi zipo wazi! Hakuna mwingine unayemfahamu kuzungumzia uozo katika nchi hii zaidi ya hao uliowataja? He sio hao wapinzani wanaokataa jitihada za Rais kuisafisha nchi?? Sio hao?
 
....Kwa mwenye akili fupi na za kushikiwa kama wewe. Unaposema kinyonga bila ya kuwa na uthibitisho hata chembe wa ukinyonga wangu unakuwa VUVUZELA tu unapiga kelele lakini huna ushahidi wa kuthibitisha kauli yako. Huwa sikurupuki ninapoandika hapa.
Hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi sana kujitetea! Nikivuta Uzi wako wa 2006, 7,8, 9, 10 kila mtu ataona namna unavyojiabisha hapa kwa kuruka sarakasi huku umevaa taulo! Mkuu unajichoresha sana!
 
Gari bovu sidhani kama ilimlenga dereva bali ilimtahadharisha, lakini hili tembo ni za uso kwa dereva. Kama gari ni bovu halafu akaingia tembo-naona unapata balaa kubwa labda tembo adhibitiwe.
 
Vuta huo uzi uuweke hapa wa kuonyesha msimamo wangu wa 2007, 2008, 2009, 2010 na kasha uweke ushahidi wa kuonyesha msimamo wangu ulivyobadilika 2015 au 2016. Hakuna uzi kama huo na unaweza kukesha humu 24/365 ukashindwa kuthibitisha kauli yako. Wewe ni VUVUZELA tu unakurukuka na kuandika oumba ambazo hazina ukweli wowote na jinsi ulivyo VUVUZELA unaandika hata uongo eti mimi nina uzi humu wa 2006 wakati nilijiunga hapa 2007. Acha kukurupuka na kutumia nguvu kubwa kutaka kuthibitisha PUMBA zako wakati huna ushahidi. Nasubiri ulete uzi wangu wa miaka hiyo ya nyuma na kufananisha na mwaka jana au mwaka huu ili kuthibitisha ukinyonga wangu na kila mtu aone ninavyojiabisha. Pumba.vu mkubwa. Acha kuonyesha utaahira wako hadharani ficha ujinga wako badala ya kujibaragusa humu huku ukiandika pumba.

Hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi sana kujitetea! Nikivuta Uzi wako wa 2006, 7,8, 9, 10 kila mtu ataona namna unavyojiabisha hapa kwa kuruka sarakasi huku umevaa taulo! Mkuu unajichoresha sana!
 
Vuta huo uzi uuweke hapa wa kuonyesha msimamo wangu wa 2007, 2008, 2009, 2010 na kasha uweke ushahidi wa kuonyesha msimamo wangu ulivyobadilika 2015 au 2016. Hakuna uzi kama huo na unaweza kukesha humu 24/365 ukashindwa kuthibitisha kauli yako. Wewe ni VUVUZELA tu unakurukuka na kuandika oumba ambazo hazina ukweli wowote na jinsi ulivyo VUVUZELA unaandika hata uongo eti mimi nina uzi humu wa 2006 wakati nilijiunga hapa 2007. Acha kukurupuka na kutumia nguvu kubwa kutaka kuthibitisha PUMBA zako wakati huna ushahidi. Nasubiri ulete uzi wangu wa miaka hiyo ya nyuma na kufananisha na mwaka jana au mwaka huu ili kuthibitisha ukinyonga wangu na kila mtu aone ninavyojiabisha. Pumba.vu mkubwa. Acha kuonyesha utaahira wako hadharani ficha ujinga wako badala ya kujibaragusa humu huku ukiandika pumba.
Haha umepanic mkuu! Wewe utakua wale wazee walioshindwa maisha halafu wanalaumu kila MTU kutokana na uzembe wao!
 
Acha ujinga wewe huwa si panick mie kwa lolote lile. Weka uzi za kuonyesha ukinyonga wangu badala ya kujibaraguza baraguza. Utindio wa Ubongo unakusumbua hadi kuandika pumba ambazo huna hata chembe ya uthibitisho. Acha tabia ya kukurupuka na kuandika upuuzi.

Toka umeanza kuniqote hamna lolote LA maana uliloandika, zaidi sana ya kuha.risha tu humu! Plus your age! Man you are finished!
 
Kutokana na ufinyu wako wa akili huwezi kuelewa nilichoandika. Matatizo ya elimu MULUGO hayo. Unajibaraguza baraguza tu huku na kule mara oh! nikivuta uzi wako wa mwaka huu utaaibika halafu unaendelea kuandika upuuzi bila kuvuta hata uzi mmoja wa kuniabisha.

Uache kukurupuka na kuonyesha utindio wa Ubungo unaokusumbua hadharani. Akili zako ndogo nenda peleka mtaa wa lumumba si humu. Humu utaaibika tu.

Toka umeanza kuniqote hamna lolote LA maana uliloandika, zaidi sana ya kuha.risha tu humu! Plus your age! Man you are finished!
 
MAGU,kaa kimya wewe chapa kazi,ila akiingia ndani ya 18 ng'oka naye hata mizizi yake isionekane kamwe,hawa walikuwepo tokea uhuru,nchi ilipokuwa inatafunwa na mchwa,wao walikuwepo wakiwa kimyaaaa,wakimaanisha pia walihusika na huu utafunaji wa rasilimali za nchi leo anakuja anaropoka ropoka hapa,kwa nini asimfuate magogoni amshauri??.
Ni bora Rais awe TEMBO maana akiwa swala ndo hayo madudu yanajirudia ya ufisadi na watumishi hewa.
MAGUFURI,KANYAGA MAFUTA WALA USIPUNGUZE ILA ONGEZA
 
Back
Top Bottom