Mkuu,kwahiyo bustani ipo kusikojulikana?Kidini vile binadamu ameumbwa kutoka Adam na Hawa bustani ya Eden ipo kusikojulikana.na watu wasiojulikana ndo wanajua ilipo. Scientifically hakuna bustani ya Eden maana tulikuwa nyani tunakaa maporini.Uzuri sayansi ina fanya proofs lakini dini ni kuamini tu hivo kila mtu akili kichwani mwake ukijaribu kuangalia nyoka ana miguu mingapi siku ukigundua ana elfu unaweza kufa nenda kanisani au msikitini kasali acha ufukunyungu
ahsante mkuuBustani hii huenda ilikuwepo kwenye moja kati ya nchi hizi.
ETHIOPIA
IRAQ
UTURUKI
KUWAIT
Kwa mujibu wa majarida mbalimbali wakihusisha MITO(rivers)yaliyotajwa wakati huo na mpaka Leo kati ya MITO hiyo 4 umebaki moja EUPHRATES.
sio mashariki ya kati kweli?Wengine wanasema Ethiopia ila inasemekana.
Where Was the Garden of Eden Located? | The Institute for Creation Research
Watu wamezidisha utaniJamiiForums imeanza kuboa nowdays
Kwani umesikia bado ipo? Kwa nini usiulize "Bustani ya Eden ilikuwa nchi gani?"Hii bustani ambayo 'inasadikika' kuwa waliishi ADAMU NA HAWA/EVA ipo nchi gani?
Nilisikia Iraqsio mashariki ya kati kweli?
Saana kabisaa mkuuJamiiForums imeanza kuboa nowdays
Hapana Jf bado iko sawa na itaendelea kuwa sawa, shida ni kwamba vyuma vimekaza sana, wengine hawajui hata nini wanacomment. We ushaona mtu anaenda kwa gari yake kisha anagonga hodi kwa mlango? hapo wala hajakunywa mvinyo.JamiiForums imeanza kuboa nowdays
aiseeeNilisikia Iraq