majiko8
Member
- Nov 11, 2013
- 45
- 70
Karibia na Mto TikritHoja ndiyo nimeshaijibu....Bustani ya Eden ilikuwepo Iraq
Karibia na Mto TikritHoja ndiyo nimeshaijibu....Bustani ya Eden ilikuwepo Iraq
Kwahiyo kama hujui kila kitu ndio uandike kila kitu. Kama hujui nyamaza lkn sio kuandika tu eti mara chato oooh magogoni yaan bora kaandika tuKama una jibu lilio straight si unasema tu? Kama kila mtu angekuwa anajua kila kitu hii forum ingekuwa haina maana kabisa.
umeonyesha uwezo finyu wa kutetea ulichoandika.Hoja ndiyo nimeshaijibu....Bustani ya Eden ilikuwepo Iraq
😀😀😀😀😱😱😱😱😱😱😱Ukweli hiyo Bustani ipo hapo ulipo na ndio maana kulia au kushoto kwako kuna mwanamke,sasa hao ndio wakina Hawa na Eva wako![]()
Hii bustani ambayo 'inasadikika' kuwa waliishi ADAMU NA HAWA/EVA ipo nchi gani?
ilikuwa iraq baada ya gharika ya nuhu bustan ikafutika daaaah wengine wanasema ipo mlima nyang'oro wengine wanasema ipo kondoa kule kwa wakwe zake naniliHoja ndiyo nimeshaijibu....Bustani ya Eden ilikuwepo Iraq
Hii bustani ambayo 'inasadikika' kuwa waliishi ADAMU NA HAWA/EVA ipo nchi gani?
Makubwa kwani madogo yana nafuu - SERENGETI kwenye hifadhi ya Wanyama ?Tanzania maeneo ya Serengeti.....!
Makubwa kwani madogo yana nafuu - SERENGETI kwenye hifadhi ya Wanyama ?
AminaHiyo ni Siri y'all Mungu
Yaliyofunuliwa ni yetu
Ambayo hayajafunuliwa ni ya Mungu
Sasa hivi iko WAP ?Ilikua mpakani mwa iran na irak