Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
ipo Uganda eti
hayo ni matokeo ya ongezeko la vi smatphone vya bei cheeJamiiForums imeanza kuboa nowdays
Hiyo ya binadamu kuwa ni nyani ni sayansi au historia (sanaa) mkuu ?Kidini vile binadamu ameumbwa kutoka Adam na Hawa bustani ya Eden ipo kusikojulikana.na watu wasiojulikana ndo wanajua ilipo. Scientifically hakuna bustani ya Eden maana tulikuwa nyani tunakaa maporini.Uzuri sayansi ina fanya proofs lakini dini ni kuamini tu hivo kila mtu akili kichwani mwake ukijaribu kuangalia nyoka ana miguu mingapi siku ukigundua ana elfu unaweza kufa nenda kanisani au msikitini kasali acha ufukunyungu
Ilikuwa Iraqni vigumu kujua iko wapi au ilikuwa wapi kama dunia nzima ilipitia katika mafuriko ya nuhu
Ipo VietnamHii bustani ambayo 'inasadikika' kuwa waliishi ADAMU NA HAWA/EVA ipo nchi gani?
Iraq indigo bustani ya Eden inasadikika kuwepoHii bustani ambayo 'inasadikika' kuwa waliishi ADAMU NA HAWA/EVA ipo nchi gani?
Most Bible commentaries state that the site of the Garden of Eden was in the Middle East, situated somewhere near where the Tigris and Euphrates Rivers are todayHii bustani ambayo 'inasadikika' kuwa waliishi ADAMU NA HAWA/EVA ipo nchi gani?
HAKUNA huo uthibitisho.Ilikuwa Iraq
Unaweza ukanipa uthibitisho kuwa hiyo gharika ilibadilisha structure..??? Na kwanini ufananishe jiografia na structure....sio lazima iwe hiyohiyo baada ya gharika. gharika ilibadili structure na jiographia ya ulimwengu kabla yake.