Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
sio akili yako unahitaji msaada
Sijui akili za wapi, sasa kwa kumsafisha mwanangu ndio nahitaji msaada? Sasa kwa lipi?
sio akili yako unahitaji msaada
najua hujafikia maana hata ile ndoa umeahirisha.......Nashukuru Mwenyezi Mungu Sijafikia UPOPOMA Huo.
Hiyo picha inatoa taswira mbili ambazo twapaswa kuzielewa...
1- katika hali ya kawaida kuwa kila kitu kipo normal sio kawaida au hata busara kwa baba kuwa bize kiasi hicho anakosha watoto na wengine kafunga mgongoni.
2- katika hali isiyokuwa ya kawaida (kwa mfano jana mh. Sugu kapewa mwanae na bi nani yule almaarufu wa kukaa uchi yulee) kwahiyo mtoto kajisaidia namuona mh. Sugu akiingia front na kumsafisha na kumvisha na kumlisha mwanae...kumbuka hapo mama hayupo na hakuna cha beki tatu wala nne.
Tusikimbilie kulalama mara bushoke mara mume ----- mara limbwata....kunawakati katika maisha unalazimika kuyafanya hayo kuziba pengo la muhusika halisi ambaye ni mama na hakuna mbadala kwa wakati huo.
Au hamujawahi kuona mtu katupiwa mtoto offisini inabidi ageuke kuwa mama kwa wakati huo...haya mtoto ka-poop unampatia nani uliyezaa naye hapo ofisini kwako ambadilishe pampas?
Halafu musijifanye hamjui kitu hapa...nyie huwa hamuogi na watoto na unakuta dogo kakulilia baba nataka nioge na wewe...ili asione dushe lako unalazimika kumuogesha kisha unamtoa unaingia kukoga rasmi wewe mwenyewe.